Wishful thinking.Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimywa wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka
Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Hana loloteKuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimywa wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka
Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
yeye mwenyewe hajui hata anafanya nini?Avunje maana wanamkejeli wazi wazi Mataga and co
Huyo bwana ni yupi?Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka
Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama.
Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka
Mama inabidi avunje baraza la mawaziri na bwana yule arudi mwakao akalime. Kwa sababu ndio mmoja wa viongozi wanaofanya silent sabotage, ambayo wanafanikiwa. Mama ameshashtuka na msishangae, yajayo yatawafurahisha
.Kunya anye kuku akinya bata kaharisha....zigo la mama hilo ala hamna kumtetea au kutafuta mchawi. Utais sio kurembua tu...