Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

Tumehisi hivyo.
 
Dereva kalala Sana maagizo yake watendaji wake wanayadharau
 
Nchemba yupo kuelekea kwa mafundi wake utashangaa anabadilishiwa wizara tu.
 
Hakuna haja ya kutishiana au kufukuzana kwa majungu, afanye kazi tuu kwa bidii na awe mwaminifu, watu sio wajinga wataona tuu na ataongoza vizuri sana, cheo dhamana tuu fanya kazi vizuri uondoke zako
 
Ngoja tuyasubiri ingawaje utabiri wenu mara nyingi huwa mere illusions!
 
Yaani kushitakiwa gaidi Mbowe ndo sabotage au?!
Mlienda kulia kwa wazungu na Tv zao naona mgonga mwamba mnarudi kumfanyia maagizi. Nasema ivi lile gaidi lisipate dhamana kabisa
 
HUKU MTAANI TUSHAKUBALI MATOKEO KWAMBA KESHA FAIL NILIKUWA SHABIKI WAKE ILA NIMENYOOSHA MIKONO JUU , SHE WILL BE THE WORST PRESIDENT EVER.
 
Mama anapelekeshwa km wind vane! Yaani kina mwigulu na gwaji boy wanampelekesha km loose ball!
 
Chama dola
 
Mh Rais anafanya la maana kukaa kimya na kufanya kazi badala ya kujibizana na mashujaa wa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…