Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamuwekea Sumu padri au Dj huyo!
Teh teh teh jamaa wa Kigambon Nyerere chali
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.
Thanks.
Pasco.
RIP Ben Saanane!.-Naona dalili za hofu na kupanic tu hata kabla hajachukua fomu makumi ya watu wameingiwa na hofu, wivu, hasira na chuki huku mamilioni ya Vijana tukiwa nyuma yake.
-Tutaendelea kumpigania na kumtetea dhidi ya wale wote wanaotaka kukiharibia chama chetu taswira yake kwa siasa chafu.
-Sio utamaduni wa CHADEMA na tunaomba kamanda Ben asiwajibu chochote atuachie watu hawa wapotoshaji tuwajibu kwa hoja.
1 Ben ni afisa wa idara ya sera na utafiti ya chama. Alikuwa afisa mwanzilishi wa maswala ya kanda makao makuu.
2-Ameshiriki katika vikao vya kiutendaji ndani ya sekretarieti na hata ndani ya kamati kuu.
-Ina maana anakijua chama kwa undani tofauti na uongo wa siasa chafu.
3-Kwa wadhifa wake ndani ya chama ndiye mshauri wa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni juu ya maswala yote ya kisera au sijui kama nimekosea.
4-Amewahi kuwa kiongozi kuanzia shele na vyuo. Alikuwa kiongozi wa Jumuiya ya watanzania katika chuo cha Allahabad-INDIA.
-Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa kimataifa chuoni.
- Kipindi kilichopita nilisoma tamko lenye wasifu wake,
-Amekuwa afisa utawala na fedha katika kampuni ya Relliance, General Manager wa makampuni ya Alpha.
5-Hajawahi kutuhumiwa kutoa rushwa kwenye uchaguzi. Alienguliwa kwenye uchaguzi kwa sababu za kikanuni hasa kuunganisha nguvu na wagombea wengine.
6-Mara kadhaa amekuwa akipata misukosuko na jeshi la polisi na amekuwa na msimamo imara mara zote.
7-Kama isingekuwa anaaminika basi asingeruhusiwa kushiriki vikao vya sekretarieti na kamati kuu ya chama.
8-Anayemchafua Ben anatumiwa na baadhi ya wagombea kwa kuwa ukiwafuatilia atakuwa anamtusi Ben halafu wakati huo huo anamsifu mgombea mwingine.
9-Anayemchafua anahasira kutokana na alikuwa anawaonea huruma wasaliti waliofukuzwa na chama ambao Ben alichangia kwa kiwango kikubwa kuwafichua.
10-Nimesikia jina "MAHAWARA" Linatajwa kuna nini?
Mwisho nawaasa tupambane kwa hoja kwa ajili yaku na BAVICHA imara kwa manufaa ya Watanzania
Mimi Alexandry NEMESI
0766468851
AminaDaima unakumbukwa