Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Halafu unakuta mtu anavimba nacho mjini bila aibu [emoji23][emoji23]Starlet hua nikiionaga nakaona kama ka trekta kadogo dogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Si utani mkuu ni kweli we huwaoni uko mtaani, jitu zima linavimba na star let bila aibu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hivi tuporte na mwenzake rumion huwa napataga faraja sana nikiona watu wapo kwenye hivyo vidubwana
Kwani APA sijakuwa bado? Hivo Vigari vinatofauti gani na bajaji. Bora ata bajaji unaweza kuifanyia biashara kuliko hicho kistar let chenuMkikua, mitazamo itabadilika tu.
Ni kheri upande daladala lakini sio kumiliki hili gari kama uchumi wako ni wa chiniKanafaa sana kwa uchumi wa chini na kati
Ila kina tia aibu ukiwa nacho uku mjini ni bora ukae nacho huko huko bushNahisi hii ndo gari yangu ya kwanza nitakayomiliki,maana injini ndogo matumizi madogo ya wese ,nishashuhudia kimegonga mti kikakanyaga baiskeli km nne na kupindisha ringi na kuhalibu Ila chenyewe kikasimama na mchubuko tu,so kwa harakati za kuingia bush kipo poa
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Ukipata kamoja nakahitaji mno nivimbe nako mtaaniSi utani mkuu ni kweli we huwaoni uko mtaani, jitu zima linavimba na star let bila aibu [emoji23]
Kimfaacho mtu chakeHalafu unakuta mtu anavimba nacho mjini bila aibu [emoji23][emoji23]
Na huo mwili wako bado unakahitaji hiki Kigari[emoji23][emoji23] aiseee we ndio utakuwa kichekesho huko mtaani
Aanh bora niendelee kupanda daladala tu lakini si kuendesha hiki Kigari, haijalishi suala la kupita sheli kwani daladala nazo hazipiti sheriSizitaki mbichi hizi, usafiri ni usafiri jombaa anapita sheli huyo we umeshika bomba ohoo.
Na aibu pia ni yake[emoji23][emoji23]Kimfaacho mtu chake