Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

Nakitafuta used kwa mwenye nacho .

Ila kiukweli naona aibu nikikimiliki ila mbinu niliyopanga kuitumia ni mikausho mikali kitaa sicheki na nyani alafu nakiwekea tinted ni full giza na bado muziki mkali nikipita waseme kapita na kigari chake .

Alafu natamani nikiweke ule mlio mkali kama wa pikipiki iliyoharibiwa ekisozi ili wajue sasa na mimi nipo mtaani

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Aanh bora niendelee kupanda daladala tu lakini si kuendesha hiki Kigari, haijalishi suala la kupita sheli kwani daladala nazo hazipiti sheri
Starlet from japan milion 9 if am not wrong, ya mkononi standard kabisa kwanzia 4 mpaka 5 hapo

Kwahiyo we na huyo mtu mna gap la milioni 4 mpak 9 alizokuzidi achilia mbali hela ya service na mafuta.. dont hate, appreciate.
 
Kwani APA sijakuwa bado? Hivo Vigari vinatofauti gani na bajaji. Bora ata bajaji unaweza kuifanyia biashara kuliko hicho kistar let chenu
Mimi nina Toyota Voltz.

Mtu ambaye hamiliki hata baiskeli, anapata wapi ujasiri wa kuponda aina fulani ya gari?

Ulishawahi kumiliki Bajaj na Starlet hadi ukaona Bajaj ni bora kuliko Starlet? Illogical comparison.

Maliza shule kwanza. Ukishaanza ku hustle utaelewa tu kwamba kuna magari yanayolingana na kipato cha mtu.

Anayevimba kwenye Starlet aliyonunua kwa jasho lake si sawa na wewe uliye nyuma ya keyboard na kuipondea huku ukitoka hapo unagombea daladala tena kwa nafasi tu ya kushika bomba.

Maturity comes with wisdom
 
Nakitafuta used kwa mwenye nacho .

Ila kiukweli naona aibu nikikimiliki ila mbinu niliyopanga kuitumia ni mikausho mikali kitaa sicheki na nyani alafu nakiwekea tinted ni full giza na bado muziki mkali nikipita waseme kapita na kigari chake .

Alafu natamani nikiweke ule mlio mkali kama wa pikipiki iliyoharibiwa ekisozi ili wajue sasa na mimi nipo mtaani

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Na kufananisha na jamaa mmoja mwenye hio star let kiufupi nyie ndio mnaopiga tupigia kelele huku mtaani na Vigari vya laki 9.ukiendesha hicho hata jamii inakudharau onaoneka huna tofauti na hawa bodaboda wahuni.
 
Bro nipo ndichi sana ambako nikiwa na hicho kikatuni wataniona nimetoboa sasa kwakuwa uwa naenda town kulewa alafu kwenye vikao vya kijiji wanadai mimi sikai kazini .

Natamani niwe na hili gari alafu niliwekee muungurumo mkali yaani niwe narudi saa saba na sita usiku wote wakisikia sauti ya gari moshi langu basi wajue mwamba nimerejea .

Mimi naamini watasema nimepata hela maana nitakuwa mtumishi wa kwanza huko kuwa na kigari changu alafu nidumu nacho sio hawa wa kununua leo za mkopo kesho wameziuza

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Starlet from japan milion 9 if am not wrong, ya mkononi standard kabisa kwanzia 4 mpaka 5 hapo

Kwahiyo we na huyo mtu mna gap la milioni 4 mpak 9 alizokuzidi achilia mbali hela ya service na mafuta.. dont hate, appreciate.
Gap la hela halipimwi na kumiliki gari, kuna watu wanahela bank karibu mil50 na wanapanda daladala. Kupanda daladala sio kigezo cha kuwa masikini, kila mtu alishapanda daladala hata hao wenye magari sametimes daladala nao huwa wanapanda.

Suala linakuja APA unamiliki vipi gari la milioni 4 hicho kistar let nawe unavimba ni aibu tu kujitia mtaani hata heshima hampewi, sisi watembea kwa miguu tunaowaona hamna tofauti na madereva wa bajaji.

Mimi ukinipa hata lift ya hivyo vigari sipandi
 
Mimi nina Toyota Voltz.

Mtu ambaye hamiliki hata baiskeli, anapata wapi ujasiri wa kuponda aina fulani ya gari?

Ulishawahi kumiliki Bajaj na Starlet hadi ukaona Bajaj ni bora kuliko Starlet? Illogical comparison.

Maliza shule kwanza. Ukishaanza ku hustle utaelewa tu kwamba kuna magari yanayolingana na kipato cha mtu.

Anayevimba kwenye Starlet aliyonunua kwa jasho lake si sawa na wewe uliye nyuma ya keyboard na kuipondea huku ukitoka hapo unagombea daladala tena kwa nafasi tu ya kushika bomba.

Maturity comes with wisdom
Voltz nayo ni gari?. Ukiendesha unatofauti na dereva wa bajaji, nyie ndio mnaotujazia foleni barabarani siziso na sababu maalum maana Vigari vyenu vimejaa sa road na kujipitisha barabarani.

Utanunuaje gari halafu kipato chako ni kidogo? Mnalazimisha kumiliki gari matokeo yake mnanunua vigari mkiiendesha mnaonekana vituko ni heri kupanda daladala huku mtachanganyikana na kila mtu mwenye kipato tofauti tofauti.
 
Gap la hela halipimwi na kumiliki gari, kuna watu wanahela bank karibu mil50 na wanapanda daladala. Kupanda daladala sio kigezo cha kuwa masikini, kila mtu alishapanda daladala hata hao wenye magari sametimes daladala nao huwa wanapanda.

Suala linakuja APA unamiliki vipi gari la milioni 4 hicho kistar let nawe unavimba ni aibu tu kujitia mtaani hata heshima hampewi, sisi watembea kwa miguu tunaowaona hamna tofauti na madereva wa bajaji.

Mimi ukinipa hata lift ya hivyo vigari sipandi
Lakini uwezo wa kuinunua unao sio?
 
Sawa
 
Bro nipo ndichi sana ambako nikiwa na hicho kikatuni wataniona nimetoboa sasa kwakuwa uwa naenda town kulewa alafu kwenye vikao vya kijiji wanadai mimi sikai kazini .

Natamani niwe na hili gari alafu niliwekee muungurumo mkali yaani niwe narudi saa saba na sita usiku wote wakisikia sauti ya gari moshi langu basi wajue mwamba nimerejea .

Mimi naamini watasema nimepata hela maana nitakuwa mtumishi wa kwanza huko kuwa na kigari changu alafu nidumu nacho sio hawa wa kununua leo za mkopo kesho wameziuza

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Bora usinunue kabisa. Kuliko kumiliki hicho Kigari [emoji23] tuendelee tu kupanda daladala. Aibu iwapate hao wanao vimba na hivo vistarlet
 
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.

Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.

Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine z baby Walker.

Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879

Nakitafuta used kwa mwenye nacho .

Ila kiukweli naona aibu nikikimiliki ila mbinu niliyopanga kuitumia ni mikausho mikali kitaa sicheki na nyani alafu nakiwekea tinted ni full giza na bado muziki mkali nikipita waseme kapita na kigari chake .

Alafu natamani nikiweke ule mlio mkali kama wa pikipiki iliyoharibiwa ekisozi ili wajue sasa na mimi nipo mtaani

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtoa mada umetumwa
 
Gap la hela halipimwi na kumiliki gari, kuna watu wanahela bank karibu mil50 na wanapanda daladala. Kupanda daladala sio kigezo cha kuwa masikini, kila mtu alishapanda daladala hata hao wenye magari sametimes daladala nao huwa wanapanda.

Suala linakuja APA unamiliki vipi gari la milioni 4 hicho kistar let nawe unavimba ni aibu tu kujitia mtaani hata heshima hampewi, sisi watembea kwa miguu tunaowaona hamna tofauti na madereva wa bajaji.

Mimi ukinipa hata lift ya hivyo vigari sipandi
Kupanda daladala ni umasikini maana umekosa hata laki 9 ya pamoja ya kununua hata kastaret
 
Back
Top Bottom