Toofast
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 522
- 942
Watu kama nyie ndo mnaosababishaga waafrika tuitwe nyani kutokana na mawazo yenu na mambo yenu ya kishamba ,hivi unaipata wapi nguvu ya kusema eti gari fulani haifai kutumika town na kama utaitumia eti utaonekana kituko,Yani unaongea utafikiri kama ni car expert kutoka Toyota kumbe hujui lolote Kwa taarifa Yako ukiona gari ya Toyota imeuzwa sana hadi ulaya basi hio ni gari,na Toyota starlet ni mojawapo ya gari za Toyota ambazo zimenunuliwa sana ulaya tofauti na hizo ist zilizojazana huko unapopaita town,halafu unaonekana bila shaka magari umeyaanza kuyajua juzi,si Kila umwonae anasukuma starlet ukadhani ni chokambaya aisee Yan ni big no ,mfano gari zipo za kutosha tu lakini starlet ni gari pendwa Yan tangu 2003 ni kama family legacy ndo maana tunakatunza.Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879