EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Ni kweli mkuu.[emoji23][emoji23] kabisa Mkuu magari mengine ni vituko bora tuendelee kupanda daladala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu.[emoji23][emoji23] kabisa Mkuu magari mengine ni vituko bora tuendelee kupanda daladala
Nakazilia mkazio naona anajikanyaga.Nakazia
Hakuandaa hoja zake vizuriNakazilia mkazio naona anajikanyaga.
Hapo kwenye starlet Aisee hapana kama hela haitoshi jitahidi uendelee kujichanga uvute gari la kueleweka na sio kuharakisha kununua gari mwishowe ni aibu tu mnajitia barabaraniSasa kama unalielewa hilo mbona uwasimange wenye starlet? Kwamba toyota ilikosea sana kutengeneza aina hiyo ya gari?
Ngoja tumuelewesheHakuandaa hoja zake vizuri
Unakazia nini? Mnatia aibu tu huku mjiniNakazia
Hiyo aibu unayosema inapimwa na nini?Hapo kwenye starlet Aisee hapana kama hela haitoshi jitahidi uendelee kujichanga uvute gari la kueleweka na sio kuharakisha kununua gari mwishowe ni aibu tu mnajitia barabarani
Unaweza kua na kichwa kikubwa kumbe ufikiriaji ukawa hafifu ona kama hizi dharau mnawasema Hawa je kwa sisi tulio na vibaiskeli tusemajeMimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Kazi ya gari ni nini,?Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Daladala ni kero sanaDaladala ni usafiri wa hovyo kabisa, hauna afadhali yoyote, hapo mbezi mwisho napita kila iitwayo leo, ni kero kuanzia mwendokasi hadi hizo daladala, kukanyagana, kuchafuana, kunusishana vikwapa na midomo inayonuka. Huwezi linganisha anayeendesha starket/vitz na anayeshika bomba ya daladala. Tusiwaonee wivu mkuu.
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Miliki japo baskeli uone matatizo ya kumiliki chombo cha kuelewekaHivi hicho Kigari ukiwa nacho safarini na ile mikimiki ya kuovertake malori huwa mnajisikiaje. Unaweza kumuona malaika Israel huyu hapa.
Wala mimi sina mpango wa kumiliki V8 ntaendelea kupanda daladala maisha yangu yote mpaka pale nitakapoongeza bajeti yangu nivute angalau chuma cha mjerumani na sio kuharakisha kumiliki gari vya bei rahisi mwishowe nionekane kituko
Wewe kumbe Bado kula kulala Yani hujui kuwa maisha na utafutaji vinaweza kukulazimisha kwenda sehemu hata kama nauli huna au ndo nyie mnaolala sebureni kwa shemeji zenu hata usipotoka nje ukashinda unachezea remote utakula tu?Hakuna anayekosoa hela ya nauli labda mtu mwenyewe apende kwenda sehemu flani kama huna nauli hujalazimishwa kutoka
Kwani anayekosa nauli na mwenye gari anayekosa mafuta wanatofauti gani
Ikiwa ni pesa Yao wameitoa Kwa jasho wakanunua watabadili hayo mawazoMkikua, mitazamo itabadilika tu.
Mume WA mtu mtarajiwa huyo.... Anongea hizo shiiit kama wakikeWewe kumbe Bado kula kulala Yani hujui kuwa maisha na utafutaji vinaweza kukulazimisha kwenda sehemu hata kama nauli huna au ndo nyie mnaolala sebureni kwa shemeji zenu hata usipotoka nje ukashinda unachezea remote utakula tu?