steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Ni za kampuni ya Toyota,ila nafikiri kwa muonekano wake,zitakuwa zilikuwa designed kwa matumizi ya Ulaya,ni za kinyamwezi sanaHizo ni toyota au ni zile za European cars?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni za kampuni ya Toyota,ila nafikiri kwa muonekano wake,zitakuwa zilikuwa designed kwa matumizi ya Ulaya,ni za kinyamwezi sanaHizo ni toyota au ni zile za European cars?
Ngoja niwacheki be forward niangalie na beiNi za kampuni ya Toyota,ila nafikiri kwa muonekano wake,zitakuwa zilikuwa designed kwa matumizi ya Ulaya,ni za kinyamwezi sana
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Siku hz hazionekani huko,ni za kuziotea sanaNgoja niwacheki be forward niangalie na bei
Mwenye starlet hana hii adha, yeye angejipitia zake anacruise huku kaweka kishoka anapiga mluzi na akiwa na uhakika wa kutochomolewa wallet au simu mfukoni. BTW mtoa umesema bado hujafanikiwa kumiliki yako eenh!View attachment 2745760View attachment 2745761Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Onyesha unayomiliki,wewe,Iache starlet yangu najua nilipotoka nayo mwenyewe na hata mafuta nawema mwenyewe.Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Naomba mungu anipe uzima mwakani ninunue starlet/Carina au Corolla sprinterMkuu hiyo gari wewe uione tuu hivyo ukizarau ila, jaribu kwenda nje ya nchi zinazojielewa uwone dhamani ya hayo magari madogo madogo ndio utashangaa. Unakuta tajiri anacho hapo kwake na ndio unakuta anatembelea sometimes, magari makubwa yakifahari hayo niya vacation tuu, ila kama hakuna mtoko hayo ndio magari yakutembelea mjini
vp Kwa side was kijijini inaweza kutumia bila shida au ni town tuOnyesha unayomiliki,wewe,Iache starlet yangu najua nilipotoka nayo mwenyewe na hata mafuta nawema mwenyewe.
SanaaaaKanafaa sana kwa uchumi wa chini na kati
Sio wivu bali ni kichekesho[emoji23]Wivu
Hiyo inafaa kwa maeneo ya kijijini ukija nayo huku town tutakuona kichekesho huna tofauti na dereva bajaji ila angalau bajaji anaweza fanyia biashara na pia ni common huku townvp Kwa side was kijijini inaweza kutumia bila shida au ni town tu
Kikubwa napumua hayo mengine sijui kumiliki gari siyawezi ngoja nyinyi wenye hizo starlet niwaache mvimbe ila hilo haliwezi kubadili ukweli kuwa mnaonekana vituko pia mnadharauriwa sana na jamii.Mwenye starlet hana hii adha, yeye angejipitia zake anacruise huku kaweka kishoka anapiga mluzi na akiwa na uhakika wa kutochomolewa wallet au simu mfukoni. BTW mtoa umesema bado hujafanikiwa kumiliki yako eenh!View attachment 2745760View attachment 2745761View attachment 2745762
Mimi sina starlet ila it is very ironic huna hata hiyo starlet halafu unamdharau mwenye nayo... The most funny part is, vipi wewe unachukuliwa kwa heshima kwenye hiyo jamii inayomdharau mwenye starlet nawe hata hiyo huna...Kikubwa napumua hayo mengine sijui kumiliki gari siyawezi ngoja nyinyi wenye hizo starlet niwaache mvimbe ila hilo haliwezi kubadili ukweli kuwa mnaonekana vituko pia mnadharauriwa sana na jamii.
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo apa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Labda nikuulize ni gari gani kwa upande wako unaona ina hadhi?Gari inaweza ikawa ni hobby kwakweli ila kwa mwingine ikaone vituko