Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Power tiller 😂Starlet hua nikiionaga nakaona kama ka trekta kadogo dogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuma picha ya gari ya babakoMimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo hapa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.
Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.
Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Ila kina tia aibu ukiwa nacho uku mjini ni bora ukae nacho huko huko bush
Ingia kwenye mitandao husika inayouza magari ya kijapan kama sbt,be forward n.k Kisha utuwekee na bei za huko pia mfano kama hii chini ni bei ya starlet glanza ,kwenye mtandao wa befoward.View attachment 3065761
Buy two get one free
Na usd 121X2600=316,940/= Hii ndio thamani yake bila Kodi
Maskini wengi hizi ndio mada zaoHalafu unakuta mtu anavimba nacho mjini bila aibu [emoji23][emoji23]
Ndugu yangu hao wengine ni wajinga wa maisha Tu ....gari linabaki kuwa gari Tu hayo mengine ni UJINGA Tu wa baadhi wa watumnaoponda starlet akili zenu na umri hamjatofautiana bila shaka.
😀 gari gani unadhani halina hizo options? Labda trekta na powe tiller😀😀Tafuta pesa kaka...dunia ya leo kuendesha gari steering yake haina full options ni uzamani, gari haina mifumo ya umeme etc
Hv glanza ina seat ngapi maana naionaga na milinagi 3 tuGari kali natamani nipate Glanza moja turbo imenyooka ila ndio hivyo tu
Vitz glanza ikoje hio boss?Kila Mtu anatamani kumiliki usafiri wake Pesa inatafutwa
Mimi Nikipata vits glanza Tu inatosha Hayo mengine ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mifumo ya umeme?unamaanisha Nini?Tafuta pesa kaka...dunia ya leo kuendesha gari steering yake haina full options ni uzamani, gari haina mifumo ya umeme etc
Ile ni 4 seater mkuuHv glanza ina seat ngapi maana naionaga na milinagi 3 tu
Sasa hivi nimebadili kabla ya gari nipate honda 250 xlr this year if god wishes maana nimefall huku acha kabisaUnfortunately hako ka-Glanza kana bei mbaya kuliko Altezza & Subaru legacy huko Beforward naona labda mwa sababu ni vintage Car na ni gari ngumu sana kama trekta