Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.

Sipo hapa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki starlet unaonekana kituko.

Unakuta jitu lina mwili mkubwa linaendesha starlet halafu vioo kashusha maana hakina Ac, mwili wote unajaa kwenye gari yaani ni vituko halafu unakuta mtu kama huyu anajiamini kumiliki gari Aisee mimi bora niendelee kutembea kwa mguu lakini sio kumiliki hili gari la starlet na aina nyingine za baby Walker.

Kwa leo ngoja niishie apa, nitarudi pindi Mungu akinipa Kibari cha kumiliki gari.View attachment 2743879
Tuma picha ya gari ya babako
 
_20240810_045705.JPG

Buy two get one free
Na usd 121X2600=316,940/= Hii ndio thamani yake bila Kodi
 
Unfortunately hako ka-Glanza kana bei mbaya kuliko Altezza & Subaru legacy huko Beforward naona labda mwa sababu ni vintage Car na ni gari ngumu sana kama trekta
Sasa hivi nimebadili kabla ya gari nipate honda 250 xlr this year if god wishes maana nimefall huku acha kabisa
 
Back
Top Bottom