Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

Me naonaga kama kiatu cha mtoto, ngoja niendelee kupambana na mwendokero
 
Duh!!! Mawazo ya kimasikini haya.
Kuna mkurugenzi wa shule ya sekondari ndo gari yake hiyo.

Mwingine ana shule na hana gari ya kutembelea ila ana mpunga wa ajabu. Angeweza kumiliki hata v8. Ila gari yake ilikua voxy ameamua iwe ya shule. Hana shile moja, anazo mbili na miradi ya kutosha ikiwa ni pamoja na shamba la miti hekali 500 njombe huko. Ana mashamba ya ngano ya kutosha. Endelea kuwaona wa ajabu hao watu
 
Kaangalie vizuri bei yake haiwezi kufika huku
Wewe ndo nenda ukatazame, naona kabisa utakuwa umeshtuka kuona bei hizo, au unadhani walikosea kuandika zile bei,nakukumbusha tena ukipata muda pitia basi, be forward na uangalie bei za Toyota starlet Kwa models zote hasa hasa EP 91 , ili upate kushangaa zaidi.
 
Ni mtazamo wako tuu. Kuna starlet utakuta imetunzwa vzuri mtu kaipimp, kawekea extras, mziki mzuri ndani na android radio. Ndipo utajua maneno yako ni ya kujifariji tuu ila mwenye icho kigari gari kakuzid mbali.
 

Attachments

  • 1715207813002.jpg
    420.3 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…