Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Screenshot_2022-11-16-21-19-10-547_com.instagram.android~2.jpg
Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo?

Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
 
View attachment 2418874

Hapo kwenye kichwa cha uzi neno "ndugu " weka zuzu ......ili kunyosha mada
 
Wala hawampangi wala kumdanganya. Raia ndio wanaopangwa na kudanganywa na wao kwa kukubaliana wanatuaminisha kuwa yeye SS anadanganywa.

Yaani sisi raia tuone anadanganywa halafu yeye asifahamu, wakati ana kila aina ya sources za information zinazo fahamiana na zisizofahamiana.

Yeye amebariki kila kitu kinachoendelea, sharti alilowapa "Amani" iendelee kuwepo mtaani.
 
Kila msaliti hupanda mbegu ya kusalitiwa, ur own deeds will condemn you. The comes around always goes around.

Hate goes with proliferation of its own and it's like oxygen which doesn't disappoint at all.

Kila mtu Abebe mzigo wake.

Note: Complexity goes with capability

am out Kapt.Wadiz
 
Kwa nini adaanganywe..?? Itakuwa amekubali kudanganywa au mvivu wa kufuatilia taarifa zinazopelekwa kwake..
 
View attachment 2418874
Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo?

Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
Hapo tatizo ni Rais au wasaidizi wake? Si aliwaambia mwenyewe kuwa walambe asali kadili ya ukubwa wa vidole vyao!
 
Wala hawampangi wala kumdanganya. Raia ndio wanaopangwa na kudanganywa na wao kwa kukubaliana wanatuaminisha kuwa yeye SS anadanganywa.
Yaani sisi raia tuone anadanganywa halafu yeye asifahamu, wakati ana kila aina ya sources za information zinazo fahamiana na zisizofahamiana.
Yeye amebariki kila kitu kinachoendelea, sharti alilowapa "Amani" iendelee kuwepo mtaani.
Ndio maana watoa mada hawawezi kuweka ushahidi so wanapuuzwa kwa kujilisha upepo..
 
Back
Top Bottom