Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

Eti hatulii anatafuta pesa, kweli hii nchi ina vichwa maji hasa, baada ya kutumia rasilimali zako uboreshe uchumi yaani kupuyanga kwenda kukopa ndo imekuwa solution ya matatizo yetu??? AIBU SANA
Kukosa akili Ni mzigo,so mikopo sio rasilimali,unapewa bure au?

Kwa hiyo na hapa alienda kukopa kinyeo chako si ndio? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-145046.png
    Screenshot_20221115-145046.png
    178.3 KB · Views: 2
Mnampambania sana jaman...maparachichi tumeanza kupeleka south toka enzi za Mwinyi
Mlianza na Nani? Toa upumbavu wako hapa sie wakulima ndio tunajua sio mataahira Kama nyie wa huko Mjini na Kama mlianza Pesa zake ziko wapi?

Njoo huku Njombe utuletee upumbavu wako huo uone kitakachokutokea,Kwanza lile lirais lenu likituharibia soko la hapo Kenya achilia mbali la huko Nchi..

Ulitaka tupambanie mkeo? Soko la South limefunguliwa kwa Mwinyi gani? Fala wewe.
 
Wewe mjukuu wa msoga uliesomea primary Ujerumani na sasa umepewa kitengo pale Tanapa unajua hata jembe likoje?
Nyie lambeni asali tu, Acheni ufala wa kutusemea wakulima huku mnazunguka kwenye viyoyozi
 
Wala hawampangi wala kumdanganya. Raia ndio wanaopangwa na kudanganywa na wao kwa kukubaliana wanatuaminisha kuwa yeye SS anadanganywa.
Yaani sisi raia tuone anadanganywa halafu yeye asifahamu, wakati ana kila aina ya sources za information zinazo fahamiana na zisizofahamiana.
Yeye amebariki kila kitu kinachoendelea, sharti alilowapa "Amani" iendelee kuwepo mtaani.
Ni kweli mkuu anafahamu kila kitu na amebariki iwe hivyo.

Hakwepi lawama.

Mambo yote yanayotokea sasa anawajibika kwa asilimia zote.
 
Wewe mjukuu wa msoga uliesomea primary Ujerumani na sasa umepewa kitengo pale Tanapa unajua hata jembe likoje?
Nyie lambeni asali tu, Acheni ufala wa kutusemea wakulima huku mnazunguka kwenye viyoyozi
Unajisemesha upumbavu tuu Ni hivi gombeeni Sasa na Samia afu tuone Nani tutamchagua maana mnajifariji Sana humu mitandaoni..

Samia katutengenezea soko ambalo mliliharibu,

Samia katupunguzia ushuru kwenye Mazao ya misitu ,

Samia katupa mbolea ya ruzuku,

Samia katupunguzia Barabara za Vijijini yaanai Hadi Makete huku Sasa tunauza miti kukokuwa hakufikiki,

Samia katujengea mavituo ya Afya ya kuzidi..

Tunataka mhombee 2025 tuone tutamchagua Nani..awe Sukuma gang awe Chadema Hakuna atakayeshida Jimbo hata Moja kwa Njombe,Iringa,na Mbeya na Rukwa mtaishia kuwa na Jimbo la hisani la yule mama ambae alipata ngekewa kwa sababu Kessy alitukanwa watu..
 
Mama wanammudu vizuri sana wasaidizi wake. Wanampanga, anapangika kisha wanampangua.
Wameshajua udhaifu wake ni kumsifia na kumpamba bahati nzuri wazanzibar ni watu wa vivu huwa hata hawahangaiki wao akiambiwa sahivi ni saa 6 usiku hata kama ni mchana saa 8 anakubali
 
Unajadiliana na mhanga wa mgao wa maji na umeme....sio mlamba asali mwenzako
Ha ha ha haaaa!! Nalamba asali Tena?

Kwanza pole kwa kadhia ya Maji na umeme. Hakuna nayeweza kufurahia matatizo ya vitu hivi viwili kamwe.

Kikubwa tusaidiane kutoa ushauri utaisaidia kutatua kero hizi kwa kutumia lugha ya staha ili watekelezaji wajue wanaungwa mkono katika utekelezaji huo.

Nyongeza, Mimi nchi yangu ni Tanzania, sina nchi nyingine. Siwezi kufurahishwa kwa namna yoyote Ile kuona nchi yangu inadhiakiwa. Unapomdhiaki Rais wa nchi yetu Tanzania ni sawa umetudhiaki watanzania. Hili halikubaliki.

Asubuhi njema.
 
Huyo raisi ni wakwenu walamba asali.
Sisi watanzania hatujapata raisi wetu bado.
Siku ukifanyika uchaguzi(sio uchafuzi) tutapata raisi wetu watanzania
 
Unajisemesha upumbavu tuu Ni hivi gombeeni Sasa na Samia afu tuone Nani tutamchagua maana mnajifariji Sana humu mitandaoni..

Samia katutengenezea soko ambalo mliliharibu,

Samia katupunguzia ushuru kwenye Mazao ya misitu ,

Samia katupa mbolea ya ruzuku,

Samia katupunguzia Barabara za Vijijini yaanai Hadi Makete huku Sasa tunauza miti kukokuwa hakufikiki,

Samia katujengea mavituo ya Afya ya kuzidi..

Tunataka mhombee 2025 tuone tutamchagua Nani..awe Sukuma gang awe Chadema Hakuna atakayeshida Jimbo hata Moja kwa Njombe,Iringa,na Mbeya na Rukwa mtaishia kuwa na Jimbo la hisani la yule mama ambae alipata ngekewa kwa sababu Kessy alitukanwa watu..
Kwa msaada wa policcm, NECCM mnajisifu sana.
Kukiwa na uchaguzi (sio uchafuzi) Samia Hata awekwe na kivuli, kivuli kitashinda.
 
😁😁😁😁 Mtaishia na hizo excuse Hadi mnakufa..

Njooni huku Nyanda za Juu muongee ujinga wenu wankusema ooh mahindi yamepanda Bei sijui maharage muone..Huo ujinga ongee mitandaoni na mijini sio kwenyeMikoa ya kilimo.
 
polisi wanaua watu kisa kura huko zanzibar Wewe unaita excuse?...nyie endeleeni tu.. ila utambue your days are numbered...wananchi hawataendelea kuwavumilia milele.
Ipo siku wakina mama na kina baba watoto na vijana wa kike kwa kiume wataungana kumuondoa mkoloni tupate uhuru kwa mara ya pili.
 
Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo?

Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
Rais wenu anajikwamisha mwenyewe kwa nguvu zake zote, acheni visingizio vya kijinga jinga.
 
Eti hatulii anatafuta pesa, kweli hii nchi ina vichwa maji hasa, baada ya kutumia rasilimali zako uboreshe uchumi yaani kupuyanga kwenda kukopa ndo imekuwa solution ya matatizo yetu??? AIBU SANA
Jamii yoyote inayoongozwa na wajinga, werevu hupata mateso ya hali ya juu mnooooo.
 
Mlianza na Nani? Toa upumbavu wako hapa sie wakulima ndio tunajua sio mataahira Kama nyie wa huko Mjini na Kama mlianza Pesa zake ziko wapi?

Njoo huku Njombe utuletee upumbavu wako huo uone kitakachokutokea,Kwanza lile lirais lenu likituharibia soko la hapo Kenya achilia mbali la huko Nchi..

Ulitaka tupambanie mkeo? Soko la South limefunguliwa kwa Mwinyi gani? Fala wewe.
Unaweza kumtetea Samia kadri upendavyo lakini usitumie uongo, wewe sio mkulima bwashee..
 
Back
Top Bottom