Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

Tena ni mawaziri wake waandamizi, badala ya kufanya kazi walizopewa wamebadilika na kuwa chawa
 
Msipende kugeneralize....Semeni Raisi wangu mpendwa....wetu wewe na nani?? Ulimpigia kura?
HAKIKA, hatukumchagua ndomana hatusikilizi.

Yaani Eti Kabood na Kuluuuuvi ni WA kuwekwa CHINI ya KITANDA kama misukule Ili KAMBA, Riz, Mwigu na Pena nyota zishine!!!!!!!
 
Zamani nilikuwa naomba omba sana,lakini kuna wakati nikaambiwa msaada haumalizi dhiki na huwezi kuendelea kwa kupewa msaada jifunze kutafuta.
 
Apotoshwe au adanganywe yeye ni mjinga au mtoto?? acheni kusingizia watu Raisi ana madaraka na cyombo vya kutosha kuanzia Kikosi chake cha Ulinzi,TISS , Police na JWTZ na kadhalika atumia hivyo kupata ukweli.
 
HAKIKA, hatukumchagua ndomana hatusikilizi.

Yaani Eti Kabood na Kuluuuuvi ni WA kuwekwa CHINI ya KITANDA kama misukule Ili KAMBA, Riz, Mwigu na Pena nyota zishine!!!!!!!
Kama unaamini katika siasa za makundi utaamini kuwa hao waliovutwa karibu na rais hawafai.
 
Rais Samia Suluhu anafanya mambo makubwa sana na yupo makini na kazi yake hakuna anaempotosha wala nini ameitoa nchi mbali sana ndani ya siku 607 akiwa madarakani amefanya maendeleo mengi yanayomlenga direct mtanzania na yeyote anaegundulika anafanya ubadhilifu wa pesa za umma lazima ashughulikiwe kisheria
 
Nimelazimika kwenda kwenye heading! Hii si sahihi. Huyu ni Rais wetu wa Nchi. Ni Alama yetu. Tumuheshimu.
Kweli kabisa ZUZU lazima aheshimiwe milele daima [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90]
 
Msipende kugeneralize....Semeni Raisi wangu mpendwa....wetu wewe na nani?? Ulimpigia kura?
Wewe sio Mtanzania!?
Mara nyingine yule Gaidi alikuwa sahihi kuwapoteza watu kama ninyi...
alichokuwa anakosea ni kuwapoteza mazima tu, lau angewarudisha baada ya muda fulani mkiwa na viungo ungufu angekuwa bora sana!!
 
Anguko la Mtu ni njia zake mwenyewe. Kiongozi anapaswa kuogopwa. Lakini leo wafuasi wa viongozi ni wale Nyuki wa Fulani, Alipo fulani sisi tupo. Tuache kujidanganya kuna muda tumbo linaposhindwa kujishikilia mwili wote unatetemeka.
 
Huwezi kuuona msitu ukiwa ndani ya msitu
 
Alish
atahadharishwa mapema sana kwamba Nchi hii ukicheza na watu wako utaambulia patupu. !! Akasema yeye hana hulka ya kufukuzana fukuzana !! Iko hivi - kutafuta pesa ni suala moja na kuzidhibiti hizo pesa ili zisiingie mikononi mwa Nchwa ni suala jingine kabisa !! Ngoja tuone !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…