Wanaomsifia Magufuli leo kesho Lisu akiwa Rais watalamba matapishi yao?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua Lisu anakuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ?
 
Tundu Lissu awe Rais? Hata kama Singida ingekuwa nchi bado asingeweza. Urais wa kuchaguliwa na wananchi huwa haupaniwi kiasi hicho na kwa kawaida hauko chini ya mamlaka ya mtaka uraisi na wapambe wake. Ingekuwa hivyo Mh. Lowasa ama angekuwa Rais 1995 au 2015, lakini wapi hajawa na anaweza asiwe milele. Maalimu Seif je? Oooooooh wanamwibia kura, sawa, finally siyo Rais.
.
 
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za rais wetu mpendwa magufuli je kesho tundu lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda magufuli na kumsifia tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua lisu anakuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ? Mods msifute nyuzi Kama hizi tafadhali.

Niliwahi kusema huko nyuma kwamba Edward Lowasa asingekuja kuwa raisi wa nchi hii na ikawa hivyo hakuwa raisi.

Pia nikachangia tena mada humu kwamba Benard Membe hawezi kuwa raisi wa nchi hii na imekuwa hivyo ameondolewa CCM

Na leo nakuhakikishia kwamba Tundu Lissu ataendelea kuusikia uraisi akiwa huko Ubelgiji.

Ila lolote linaweza kutokea lakini asilimia yake ni ndogo sana ya matokeo hayo.

Bwana asifiwe.
 
Labda awe rais wa wavaa miwani kama Nyoshi El Sadat alivo rais wa masauti
 
Si tayari.keshakuwa Rais wa chama chao cha wanasheria? Kule kulikojaa watu wenye mihemko ameweza kuws rais ila huku kwingine aendelee kuota tu ..
 
Tundu Lissu awe Rais? Hata kama Singida ingekuwa nchi bado asingeweza. Urais wa kuchaguliwa na wananchi huwa haupaniwi kiasi hicho na kwa kawaida hauko chini ya mamlaka ya mtaka uraisi na wapambe wake. Ingekuwa hivyo Mh. Lowasa ama angekuwa.rais 1995 au 2015, lakini wspi hajawa na anaweza asiwe milele. Maalimu Seif je? Oooooooh wanamwibia kura, sawa, finally siyo Rais.
.
Asante kwa Ujumbe Mzito wenye kufikirisha. Lakini hauzuii Lissu kuwa Rais wa JMT muda wowote kuanzia October 2020.
 
Niliwahi kusema huko nyuma kwamba Edward Lowasa asingekuja kuwa raisi wa nchi hii na ikawa hivyo hakuwa raisi.

Pia nikachangia tena mada humu kwamba Benard Membe hawezi kuwa raisi wa nchi hii na imekuwa hivyo ameondolewa CCM

Na leo nakuhakikishia kwamba Tundu Lissu ataendelea kuusikia uraisi akiwa huko Ubelgiji.

Ila lolote linaweza kutokea lakini asilimia yake ni ndogo sana ya matokeo hayo.

Bwana asifiwe.
Acha hizo bahati na Sibu zako.
 
Etii Bernard Membe ameondolewa na nani ndani ya CCM?, ongeza sauti nisikie vizuri ili na mimi nijue!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom