Wanaomsifia Magufuli leo kesho Lisu akiwa Rais watalamba matapishi yao?

ndugu yangu sidhani kama kichwani mwako kuna glucose ya kutosha! hivi unatumia sayansi gani kuota ndoto huku uko macho??? hebu amka sasa fikiria freely hivi kwa ajali mbaya iliyomkuta mwanamapinduzi wetu yeye ni mlemavu sasa wa mwili na akili hawezi kutimiza majukumu ya urais hilo tu latosha kumuondoa na baba yake anaemjaza upepo ni mhuni tu Disco Joker akaae na vidosho kule VIP rooms Bills!!! ndugu yangu mpendwa acha uvivu wa kufikiri outside the box hivi huogopi Korona wewe watu wote wako macho kwa hofu ya Korona wewe unapataje usingizi mzito namna hii?

na pia kawaida mara nyingi unapotaka na kupania sana kitu huwa hukipati. hata kuna wengine walipambana sana kama huyu wako wa ‘Rural Singapore’ nao wakashindwa pamoja na manywele yao kugeuka rangi na kambi zao na mapesa yao.

Na wengine hivi sasa wanapambana mno na kambi yao iko wazi sasa ila hakuna kati yao atakaeambulia kitu wamepania mno na kwakuwa wameiba sana wana pesa na kambi nzima wanavaa miwani basi wanajiona ma geniuses kumbe hamna kitu na siku moja watarudi bush walikoanzia!!

Mungu ni mwenye kuchelewesha adhabu za wezi, wajivuni, walafi na wenye kibri!! Hawa miwani wapya ni kundi lajionesha wazi ni maadui wa taifa natamani mzee baba azuie akaunti zao za ndani na nje na kiasi walichonacho benki watoe viambatanisho walikozitoa, na zitaifishwe waache sarakasi zao, halafu wazuiwe kusafiri nje! enzi za mwanzo za Tudor monarchy wabishi na wajivuni kama hawa walihesabika wakifanya treason na walikatwa vichwa mbele ya watu!
 
Ina maana unataka sisi sote tumpende Lisu na tumchukie jiwe?
Je wewe umeshajiuliza jiwe akishinda uraisi utajisikaje?
 
Hatuwezi kuacha kujenga nchi kwa kuhofia fulani akiwa Rais atatuchukuliaje.
Tundu Lissu hawezi kuwa Raisi na hawezi Kurudi tena Bungeni atabakia kuwa Makamo Mwenyekiti wa Mbowe na Mpiga kura harali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
People discuss on how to combat Covid-19. I hope tumeelewana maana Rais tunaye na tutaendelea kuwa naye mpaka 2025. Nataka niwaeleweshe Vijana tumemwelewa Tundu A. Lissu aliandaliwa ili kuja kulinda utajili wa Wazungu na kuhakikisha wachota utajili wetu wa rasilimali.
 
Siku Tundu Lissu anaapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ndio itakuwa siku ambayo Tanzania inapata Uhuru mara ya pili
Mapambano ya kufanya awe Rais wetu ni zaidi ya Yale aliyopitia Mzee Mandela.Makaburu waogopao mabeberu hawatakubali kirahisi,wanatamani kumnyuka tena shaba,this time wanampango wa kutumia mabomu.
Tunatakiwa kujipanga ili mpambanaji kamanda anarejea salama.
 
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua Lisu anakuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ?
Hakuna asifiaye kwa mahaba yake binafsi Bali kwa kutegemea kupata kitu mfano pesa au teuzi au Kinga ya utumbuzi.Mfano check Kange,Mwijage,baada ya utumbuzi umewahi sikia nyimbo za sifa tena.Mfumo ukishakutupa unabaki pekee yako hakuna cha TBC,bashite au Musiba.Hakuna ajuayae kesho yake hatukutegemea kuna siku ndege zitapack duniani.Chochote chaweza tokea kwa mwanadamu yeyeto na kubadili upepo.Hata wasemao ccm itatawala milele huwa hawajui kuhusu nature
 
Niliwahi kusema huko nyuma kwamba Edward Lowasa asingekuja kuwa raisi wa nchi hii na ikawa hivyo hakuwa raisi.

Pia nikachangia tena mada humu kwamba Benard Membe hawezi kuwa raisi wa nchi hii na imekuwa hivyo ameondolewa CCM

Na leo nakuhakikishia kwamba Tundu Lissu ataendelea kuusikia uraisi akiwa huko Ubelgiji.

Ila lolote linaweza kutokea lakini asilimia yake ni ndogo sana ya matokeo hayo.

Bwana asifiwe.
Ujui kuhusu laws of nature.Mtu yeyeto anayo chance sawa ya kuwa chochote kwa wakati wowote
 
Hakuna asifiaye kwa mahaba yake binafsi Bali kwa kutegemea kupata kitu mfano pesa au teuzi au Kinga ya utumbuzi.Mfano check Kange,Mwijage,baada ya utumbuzi umewahi sikia nyimbo za sifa tena.Mfumo ukishakutupa unabaki pekee yako hakuna cha TBC,bashite au Musiba.Hakuna ajuayae kesho yake hatukutegemea kuna siku ndege zitapack duniani.Chochote chaweza tokea kwa mwanadamu yeyeto na kubadili upepo.Hata wasemao ccm itatawala milele huwa hawajui kuhusu nature
Post Bora Sana katika huu uzi
 
Tundu Lissu awe Rais? Hata kama Singida ingekuwa nchi bado asingeweza. Urais wa kuchaguliwa na wananchi huwa haupaniwi kiasi hicho na kwa kawaida hauko chini ya mamlaka ya mtaka uraisi na wapambe wake. Ingekuwa hivyo Mh. Lowasa ama angekuwa Rais 1995 au 2015, lakini wapi hajawa na anaweza asiwe milele. Maalimu Seif je? Oooooooh wanamwibia kura, sawa, finally siyo Rais.
.
Inawezekana mkuu,kuna maRais kibao hawajaingia kwa njia halali inayokubalika ya kura....Who knows tomorrow!!!
 
Niliwahi kusema huko nyuma kwamba Edward Lowasa asingekuja kuwa raisi wa nchi hii na ikawa hivyo hakuwa raisi.

Pia nikachangia tena mada humu kwamba Benard Membe hawezi kuwa raisi wa nchi hii na imekuwa hivyo ameondolewa CCM

Na leo nakuhakikishia kwamba Tundu Lissu ataendelea kuusikia uraisi akiwa huko Ubelgiji.

Ila lolote linaweza kutokea lakini asilimia yake ni ndogo sana ya matokeo hayo.

Bwana asifiwe.
Umesema hawezi ila unasema pia lolote linawezekana ila asilimia ni ndogo? Najaribu kukuelewa.
 
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua Lisu anakuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ?
Hivi katika ubongo wako unategemea Lissu awe Rais wa nchi hii? Hata uenyeki wa Saccos tu mmemnyima!
 
Ndoto hizi mtu anaota mchana kweupe akipigwa jua, asili ya jamaa kuwa Rais kwa Mwenendo au nature yake ni ngumu, mtajitia moyo sana lakini haiwezi tokea,sio kwamba namsema vibaya ndo ivyo.

Labda awe Raisi wa mambo mengine,ila sio Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua Lisu anakuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ?
Kwani Corona ni janga lililoipiga Tanzania tu au ni janga la dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu?

Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje?

Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa Mambo tusiyoyategemea mfano mpaka mwaka Jana mwezi wa sita hatukujua nchi itapigwa na janga la korona halkadhalika hatuwezi kujua pengine kufumba na kufumbua Lisu anakuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania je itakuwaje kwa wanaomtesa Sasa ?
Wangapi walijua Yohana ataenda kujificha kijijini ?
 
Kesho...Lisu akiwa Rais wa nchi gani?

Back
Top Bottom