Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Ivi kweli Mkuu ndani ya nafsi yako kama umeiona Video aliokua anaongea huyo jamaa,ukiwa kama mwanamme unaejitambua unaweza ukaongea maneno kama yale mbele za watu? kuna watoto watu tunoa waheshimu,na vile vile alie semwa hivyo kumbuka kua hakua Hawara alikua mke,kwani angesema sina Tatizo na X wangu namuombea kheir na baraka
tele asonge mbele na mwenyezi mungu amuepushe na kila aina ya misukosuko angeumia wapi? au angekaa kimnya?
amekosea akubali kwani yeye pia nibinadamu na makosa ameumbiwa binadamu..
 
Hii ni isolated incidence
Hiyo si isolated incident. Actually, hao jamaa walikuwa wanaigiza, na wanafanya hivyo mara nyingi kupima reaction ya jamii mwanaume anapoonekana kumwonea mwanamke and vice versa. ukiangalia ile video ya pili utawasikia watu wanatoa maoni gani. Wanachukulia kuwa mwanamke hawezi kumdhuru mwanaume, na mwanamke akionekana anamcharukia mwanaume basi mwanaume yule lazima ni mkosaji, na hiyo si kweli all the time.
 
Mimi sijaiona hiyo video wala kuisikia hiyo clip, ila nasoma nukuu hapa na pale. Binafsi sidhani kama hayo aliyosema yana busara hata kidogo, si kwa aliyekuwa mke tu, bali hata kwa mtu yeyote...ni maneno ambayo hayastahili kutamkwa hadharani kwa mtu anayejiheshimu. Hapa hoja yangu ni reaction ya watu ambayo inaonyesha dhahiri kuwepo kwa double-standard treatment...
 
Sasa na yule Waziri wetu yuko kwenye kundi gani hapo?

kwa hili niko nyuma ya Gadner jide huwa mjinga sana na anapenda sana kuonekana anaonewa kwa kila kitu,lakini ukitazama nyimbo zake karibu zote anawapiga madongo wale aliotofautiana nao tu
 
wanawake buana, wanaona wao ndo wanaonewa tu duniani, kuna waliokuwa wanashangilia ilivyotoka ndindindi, leo wanalialia, muwege hata na kumbukumbu basi jamani
Hiyo ndindindi ni kijembe kwa Gadner? Sijaisikiliza wala kuiona.
 
Hahhahahaaaa nakumbuka niliweka post moja hapa mwaka jana mwanzoni kuwa Jide anapenda kuwatungia nyimbo watu anaotofautiana nao Duu ilikuwa shida mbona ?
Kaka mkubwa unajua hayo tukifanyiwa sisi wanaona kawaida ila wakifanyiwa wanawake inakuwa habari sana.

Ila sisapoti alichokifanya Gardner.
Cha msingi kuheshimiana na kuishi kwa amani tu.
 
Hahahahaha nimeipenda hiyo video,
Ila uliyoileta kama ukijua maana ya "Nature" hauwezi kushangaa.
Ref:Adam na Hawa/Eva.
 
Kaka mkubwa unajua hayo tukifanyiwa sisi wanaona kawaida ila wakifanyiwa wanawake inakuwa habari sana.

Ila sisapoti alichokifanya Gardner.
Cha msingi kuheshimiana na kuishi kwa amani tu.
Wote wameprove ujinga wao
 
Public awareness against women abuse ndiko alikolenga, I guess!
Ok ok maybe lakini imeleta mkanganyiko wa kiutendaji, kuna mengi mabaya kwenye sekta yake hajawahi kuyatolea ushauri iweje hili suala la wapenzi walioachana na kila mtu kumnanga mwenzake kivyake alitolee ushauri waziwazi?
 
Hiyo ndindindi ni kijembe kwa Gadner? Sijaisikiliza wala kuiona.
sifahamu kama jide alimuimbia g ama la, ila kwa muktadha wa video anaonekana jide akiachana na jamaa kisha akamtimua kwake, jamaa hakuwa na chochote aliondoka na cd tu, wanawake wengi walifananisha yule jamaa na gadner na walibeza mno, unaweza kutafuta ili kujudge zaidi, pia huo uzi upo humu
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Wanashangaza sana
 

Ofcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???

Think Think Think.
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
ha ha ha ha bora useme wewe.
 
Kama Jide ajakojozwa kwa hiyo miaka akanushe ila kama kakojozwa na alikua anafurahia tendo aendelee kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…