Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.
Hiyo si isolated incident. Actually, hao jamaa walikuwa wanaigiza, na wanafanya hivyo mara nyingi kupima reaction ya jamii mwanaume anapoonekana kumwonea mwanamke and vice versa. ukiangalia ile video ya pili utawasikia watu wanatoa maoni gani. Wanachukulia kuwa mwanamke hawezi kumdhuru mwanaume, na mwanamke akionekana anamcharukia mwanaume basi mwanaume yule lazima ni mkosaji, na hiyo si kweli all the time.Hii ni isolated incidence
Mimi sijaiona hiyo video wala kuisikia hiyo clip, ila nasoma nukuu hapa na pale. Binafsi sidhani kama hayo aliyosema yana busara hata kidogo, si kwa aliyekuwa mke tu, bali hata kwa mtu yeyote...ni maneno ambayo hayastahili kutamkwa hadharani kwa mtu anayejiheshimu. Hapa hoja yangu ni reaction ya watu ambayo inaonyesha dhahiri kuwepo kwa double-standard treatment...Ivi kweli Mkuu ndani ya nafsi yako kama umeiona Video aliokua anaongea huyo jamaa,ukiwa kama mwanamme unaejitambua unaweza ukaongea maneno kama yale mbele za watu? kuna watoto watu tunoa waheshimu,na vile vile alie semwa hivyo kumbuka kua hakua Hawara alikua mke,kwani angesema sina Tatizo na X wangu namuombea kheir na baraka
tele asonge mbele na mwenyezi mungu amuepushe na kila aina ya misukosuko angeumia wapi? au angekaa kimnya?
amekosea akubali kwani yeye pia nibinadamu na makosa ameumbiwa binadamu..
Angemwendea G privateNi mzazi
Hiyo ndindindi ni kijembe kwa Gadner? Sijaisikiliza wala kuiona.wanawake buana, wanaona wao ndo wanaonewa tu duniani, kuna waliokuwa wanashangilia ilivyotoka ndindindi, leo wanalialia, muwege hata na kumbukumbu basi jamani
Kaka mkubwa unajua hayo tukifanyiwa sisi wanaona kawaida ila wakifanyiwa wanawake inakuwa habari sana.Hahhahahaaaa nakumbuka niliweka post moja hapa mwaka jana mwanzoni kuwa Jide anapenda kuwatungia nyimbo watu anaotofautiana nao Duu ilikuwa shida mbona ?
Kwani amemwambia nini cha ajabu? mbona Jay Dee miaka yote anamrushia mipasho Gadner kupitia nyimbo na hamjawahi kusema? Binadamu tuna kawaida ya kunyamaza mwanaume 'akionewa' na mwanamke, lakini ni wepesi wa kushambulia tunapohisi mwanamke anaonewa na mwanaume, kama inavyoonekana kwenye video hii.
Public awareness against women abuse ndiko alikolenga, I guess!Angemwendea G private
Wote wameprove ujinga waoKaka mkubwa unajua hayo tukifanyiwa sisi wanaona kawaida ila wakifanyiwa wanawake inakuwa habari sana.
Ila sisapoti alichokifanya Gardner.
Cha msingi kuheshimiana na kuishi kwa amani tu.
Hujakosea kaka mkubwa. Ni kweli kabisaWote wameprove ujinga wao
Ok ok maybe lakini imeleta mkanganyiko wa kiutendaji, kuna mengi mabaya kwenye sekta yake hajawahi kuyatolea ushauri iweje hili suala la wapenzi walioachana na kila mtu kumnanga mwenzake kivyake alitolee ushauri waziwazi?Public awareness against women abuse ndiko alikolenga, I guess!
sifahamu kama jide alimuimbia g ama la, ila kwa muktadha wa video anaonekana jide akiachana na jamaa kisha akamtimua kwake, jamaa hakuwa na chochote aliondoka na cd tu, wanawake wengi walifananisha yule jamaa na gadner na walibeza mno, unaweza kutafuta ili kujudge zaidi, pia huo uzi upo humuHiyo ndindindi ni kijembe kwa Gadner? Sijaisikiliza wala kuiona.
Wanashangaza sanaLady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Hiyo si isolated incident. Actually, hao jamaa walikuwa wanaigiza, na wanafanya hivyo mara nyingi kupima reaction ya jamii mwanaume anapoonekana kumwonea mwanamke and vice versa. ukiangalia ile video ya pili utawasikia watu wanatoa maoni gani. Wanachukulia kuwa mwanamke hawezi kumdhuru mwanaume, na mwanamke akionekana anamcharukia mwanaume basi mwanaume yule lazima ni mkosaji, na hiyo si kweli all the time.
hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
ha ha ha ha bora useme wewe.Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima