Ila kumuita mtoto wa mwenzio Kichaa wa mirembe ni sahihi...!!?? Maharage ya wapi ninyi!??yani sijui nisemeje ,lakini nachoweza kusema tu kwa kifupi ni kwamba ''HUNA ADABU''
Ok, thanks, nitaitafuta.sifahamu kama jide alimuimbia g ama la, ila kwa muktadha wa video anaonekana jide akiachana na jamaa kisha akamtimua kwake, jamaa hakuwa na chochote aliondoka na cd tu, wanawake wengi walifananisha yule jamaa na gadner na walibeza mno, unaweza kutafuta ili kujudge zaidi, pia huo uzi upo humu
hii sio sababuOfcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???
Think Think Think.
Tunaelezwa kuwa tusi si tusi mpaka mtu aone ni tusi. Hivi unadhani JD angeweza kuishi katika ndoa miaka 15 kama hakuwahi kukojoa? Hivi Gadner alipokuwa anakojoza yeye hakukojoa? Sijaona tusi lolote hapa ila alitamka ukweli wa ndoa maana ili watu wawili waitwe wanandoa lazima kuwepo na 'consummation of the marriage'. Hivyo, JD naye angetamba kuwa nilikukojoza kwa miaka hiyo hiyo na bado unapenda ila nimeamua kukuacha. Huu ni mtizamo wanguivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Hilo nalo neno..... tungejadil kivingine..!hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
Nikujibu swali lako? Kama Jide angesema hivyo watu wangeshangilia sana, na wangeshambulia sana ila wasingemshambulia Jide kwa kauli hiyo, bali wangemshambulia Gadner kwa kuwa 'boya'. hata video ambazo watu wanaigiza kupima reaction ya watu mwanamume anapomwonea mwanamke and vice versa inaonyesha umati wote ukiamka ghafla kwenda kumshambulia mwanaume pale alipoonyesha kutaka kumdhuru mwanamke. ila ilipotokea mwanaume ndiye anakong'otwa mabao na mwanamke, asilimia kubwa walipita zao kama hawakuona, wakati wengine walisimama kushangilia show ya bure, na kuna hadi wachache walienda kuonja na wao kwa kumchapa makonde yule mwanaume..hakuna aliyemsaidia. Kwa hiyo hata kesho Jide akitamka neno kali dhidi ya Gadner, still Gadner ndiye atapokea mashambulizi.hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
Ivi kweli Mkuu ndani ya nafsi yako kama umeiona Video aliokua anaongea huyo jamaa,ukiwa kama mwanamme unaejitambua unaweza ukaongea maneno kama yale mbele za watu? kuna watoto watu tunoa waheshimu,na vile vile alie semwa hivyo kumbuka kua hakua Hawara alikua mke,kwani angesema sina Tatizo na X wangu namuombea kheir na baraka
tele asonge mbele na mwenyezi mungu amuepushe na kila aina ya misukosuko angeumia wapi? au angekaa kimnya?
amekosea akubali kwani yeye pia nibinadamu na makosa ameumbiwa binadamu..
InategemeanaOfcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???
Think Think Think.
ni kweli mkalikwa ujumla wote sio wastaarabu
Tungemwambia kama tunavyomwambia mwenzie,mkuu kosa kila binadamu hufanya na huyu jamaa amekoseahivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
nikitengana na mama watoto hata kusema sitosema ... nitaendelea kutoa huduma kwa watoto kimyakimya.ni kweli mkali
Nakubaliana na wewe in part. Hata watafiiti wanakubali kwamba mashambulio ya mwanaume kwa mwanamke huleta madhara zaidi, hivyo kesi zinazoripotiwa za wanawake kuumizwa na wanaume ni nyingi sana, lakini matukion ya wanawake kuwashambulia wanaume ni mengi zaidi, japo madhara yake ni relatively less. Lakini hii haimaanishi kwamba wanaume hawadhuriki. Wengine wanamwagiwa maji ya moto, wanapigwa mapanga, kuni, etc. Tatizo kubwa ni kwamba jamii inachukulia wanawake kuwa completely harmless, something that's not true. Hata vita ya maneno ikianza, jamii inahisi kwamba akirushiwa neno mwanamke linakuwa ni tusi zaidi kuliko la mwanamke kwenda kwa mwanaume, wrong again.Ofcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???
Think Think Think.
Ntu na Ntu.[emoji1]Inategemeana
Umemaliza yote mkuu.Nakubaliana na wewe in part. Hata watafiiti wanakubali kwamba mashambulio ya mwanaume kwa mwanamke huleta madhara zaidi, hivyo kesi zinazoripotiwa za wanawake kuumizwa na wanaume ni nyingi sana, lakini matukion ya wanawake kuwashambulia wanaume ni mengi zaidi, japo madhara yake ni relatively less. Lakini hii haimaanishi kwamba wanaume hawadhuriki. Wengine wanamwagiwa maji ya moto, wanapigwa mapanga, kuni, etc. Tatizo kubwa ni kwamba jamii inachukulia wanawake kuwa completely harmless, something that's not true. Hata vita ya maneno ikianza, jamii inahisi kwamba akirushiwa neno mwanamke linakuwa ni tusi zaidi kuliko la mwanamke kwenda kwa mwanaume, wrong again.
ndo hvyo ukiongea kdogo tuu you will lose your credibilitynikitengana na mama watoto hata kusema sitosema ... nitaendelea kutoa huduma kwa watoto kimyakimya.