Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

sifahamu kama jide alimuimbia g ama la, ila kwa muktadha wa video anaonekana jide akiachana na jamaa kisha akamtimua kwake, jamaa hakuwa na chochote aliondoka na cd tu, wanawake wengi walifananisha yule jamaa na gadner na walibeza mno, unaweza kutafuta ili kujudge zaidi, pia huo uzi upo humu
Ok, thanks, nitaitafuta.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] naona jamaa umejilipua..!!!

ila ukwel kauzungumza Viol hapo juu.

ila nafata tuu mkumbo kuwa Jide kadhalilishwa ili siku nikimtokea demu hapa Jf nisije nkapigwa cha mbavu
kwa ujumla wote sio wastaarabu
 
ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Tunaelezwa kuwa tusi si tusi mpaka mtu aone ni tusi. Hivi unadhani JD angeweza kuishi katika ndoa miaka 15 kama hakuwahi kukojoa? Hivi Gadner alipokuwa anakojoza yeye hakukojoa? Sijaona tusi lolote hapa ila alitamka ukweli wa ndoa maana ili watu wawili waitwe wanandoa lazima kuwepo na 'consummation of the marriage'. Hivyo, JD naye angetamba kuwa nilikukojoza kwa miaka hiyo hiyo na bado unapenda ila nimeamua kukuacha. Huu ni mtizamo wangu
 
hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
Nikujibu swali lako? Kama Jide angesema hivyo watu wangeshangilia sana, na wangeshambulia sana ila wasingemshambulia Jide kwa kauli hiyo, bali wangemshambulia Gadner kwa kuwa 'boya'. hata video ambazo watu wanaigiza kupima reaction ya watu mwanamume anapomwonea mwanamke and vice versa inaonyesha umati wote ukiamka ghafla kwenda kumshambulia mwanaume pale alipoonyesha kutaka kumdhuru mwanamke. ila ilipotokea mwanaume ndiye anakong'otwa mabao na mwanamke, asilimia kubwa walipita zao kama hawakuona, wakati wengine walisimama kushangilia show ya bure, na kuna hadi wachache walienda kuonja na wao kwa kumchapa makonde yule mwanaume..hakuna aliyemsaidia. Kwa hiyo hata kesho Jide akitamka neno kali dhidi ya Gadner, still Gadner ndiye atapokea mashambulizi.
 
Ivi kweli Mkuu ndani ya nafsi yako kama umeiona Video aliokua anaongea huyo jamaa,ukiwa kama mwanamme unaejitambua unaweza ukaongea maneno kama yale mbele za watu? kuna watoto watu tunoa waheshimu,na vile vile alie semwa hivyo kumbuka kua hakua Hawara alikua mke,kwani angesema sina Tatizo na X wangu namuombea kheir na baraka
tele asonge mbele na mwenyezi mungu amuepushe na kila aina ya misukosuko angeumia wapi? au angekaa kimnya?
amekosea akubali kwani yeye pia nibinadamu na makosa ameumbiwa binadamu..

Video ya Gardner mwenye nayo naiomba anaitupie
 
Kinachonishangaza hapa, wakati anaongea wanawake ndio waliokuwa washangiliaji, huku wanawake ndio walalamikaji, kweli hakina mwanamke asiyekuwa mwanamke. Mkimbuke hajamtaja mtu jina
 
Kutoka umaarufu wa tungo bora mpaka umaarufu wa kashfa na mipasho ya kimapenzi
 
Ofcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???

Think Think Think.
Nakubaliana na wewe in part. Hata watafiiti wanakubali kwamba mashambulio ya mwanaume kwa mwanamke huleta madhara zaidi, hivyo kesi zinazoripotiwa za wanawake kuumizwa na wanaume ni nyingi sana, lakini matukion ya wanawake kuwashambulia wanaume ni mengi zaidi, japo madhara yake ni relatively less. Lakini hii haimaanishi kwamba wanaume hawadhuriki. Wengine wanamwagiwa maji ya moto, wanapigwa mapanga, kuni, etc. Tatizo kubwa ni kwamba jamii inachukulia wanawake kuwa completely harmless, something that's not true. Hata vita ya maneno ikianza, jamii inahisi kwamba akirushiwa neno mwanamke linakuwa ni tusi zaidi kuliko la mwanamke kwenda kwa mwanaume, wrong again.
 
Umemaliza yote mkuu.
Sina nyongeza.
 
Back
Top Bottom