Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanawake ni watu walio inferior na wao wanalijua hilo.

Haipaswi kuwa hivyo lakini hivyo ndivyo ilivyo.
You're very right lakini wanajisahau kiasi cha weakness yao ( inferiority) kutaka kui-expose hata wakiwa kwenye normal temperature!
 
Team DVD mtajicarry!!!!
#NdiNdiNdi ndo habare ya mujini. Msisahau tarehe 20 #NaamkaTenaConcert

Kama nakuona vile Captain ushuzi ulivyokuwa unajitutumua pale kati ili usije kosa pocket money, una akili kweli!
 
'Ukimpuuza' anakuwa mkali ile mbaya..maana yeye anatafuta mikasa, anataka maneno yake yatoke. Yaani ni kama wanakuwa na idadi fulani ya maneno ambayo lazima ayaongee kwa siku, tena kwa mood ya ukali. yasipotimia hatulii!
Ndo hapo sasa... cjui huwa wanawaza nini!! Tena endapo tv au radio station zingeruhusu; wangetamani hata kulipia airtime wakamseme huyo waliyemkusudia hadi muda utakavyoisha!

Lakini hata hivyo wapo wanawake ambao ni very decent! Ingawaje ni kweli wengi wao hawana uvumilivu lakini wengine ni tabia mbaya tu za asili! Mtu kama Jide nadhani anaoongoza kwa wasanii wa kike wanaopenda bifu. Tena cku hizi ameanzisha mtindo. Aki-release nyimbo tu; stay tuned! Yaani ni kama anafanya ndio njia yake ya publicity kwa kazi anayoingiza sokoni!
 
???????????
 
You are very right brother, Jide kamuandamana sana jamaa.

Jide aliongoza round zote za mpambano, jamaa raundi ya 12 karusha upper cut moja mtu chali....raia hawaamini matokeo

Mbona mnalazimisha ionekane kuwa hilo ni kombola kubwa sana kwa jide??! Mnajitutumuuuuuaa!!!!
Msisahau kuwa jamaa kajidhalilisha mwenyewe kwa kuutangazia umma kukojoza ndo ilikuwa security yake ili aendelee kumega tonge za jide!! Daaah kweli mjini msingi kiuno
 

Huyu jide nyimbo chungu nzima anamuuimba mshkaji yeye kapewa moja Tu watu mapovu yanawatoka waache watayamaliza kama walivyo yaanzisha.....Gadner hakuna alicho kusea kwani uongo???
 
Ni udhaifu mkubwa kundelea kukejiliana wapenzi mkiwa mmeachana, kwanini utoe mapungufu ya mpenzi mliachana hadharani ni udhaifu mkubwa, ni nani asiejua kuwa mlipokua pamoja mlikua mkifanya hayo.
 

Vuta pumzi mkuu, ni mtazamo tu na sio lazima tufanane.

Hayo ya security nk sijazungumzia, hoja kubwa hapa ni kudhalilishana kulikoanzishwa na Jide mwenyewe.
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Amnaga iyo bhana ila cjui ila cyo vema kumtukana mwanamke wanaume hawatukanag wananyamazaga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…