You're very right lakini wanajisahau kiasi cha weakness yao ( inferiority) kutaka kui-expose hata wakiwa kwenye normal temperature!Wanawake ni watu walio inferior na wao wanalijua hilo.
Haipaswi kuwa hivyo lakini hivyo ndivyo ilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You're very right lakini wanajisahau kiasi cha weakness yao ( inferiority) kutaka kui-expose hata wakiwa kwenye normal temperature!Wanawake ni watu walio inferior na wao wanalijua hilo.
Haipaswi kuwa hivyo lakini hivyo ndivyo ilivyo.
Ndo hapo sasa... cjui huwa wanawaza nini!! Tena endapo tv au radio station zingeruhusu; wangetamani hata kulipia airtime wakamseme huyo waliyemkusudia hadi muda utakavyoisha!'Ukimpuuza' anakuwa mkali ile mbaya..maana yeye anatafuta mikasa, anataka maneno yake yatoke. Yaani ni kama wanakuwa na idadi fulani ya maneno ambayo lazima ayaongee kwa siku, tena kwa mood ya ukali. yasipotimia hatulii!
Na wewe mamako ampige mipasho babako hadharani ungefurahi???Think of this if it were your father telling your mother, would you be happy?
NIMESIKIA KILIO CHA MTU MZIMA ...jiwe lililorushwa gizani limeshampata mtu. we mwenyewe siumesikia mamaaaaaaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
???????????Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
You are very right brother, Jide kamuandamana sana jamaa.
Jide aliongoza round zote za mpambano, jamaa raundi ya 12 karusha upper cut moja mtu chali....raia hawaamini matokeo
Muanzisha mada mbona hachangiii?
Ana lengo gani huyu?
Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
Ataka watu waparurane yeye anakula Popcorn huku anashushia na Pepsi bariiiiiiiidi.hahahahahaha anaangalia mechi kwa mbali
Mbona mnalazimisha ionekane kuwa hilo ni kombola kubwa sana kwa jide??! Mnajitutumuuuuuaa!!!!
Msisahau kuwa jamaa kajidhalilisha mwenyewe kwa kuutangazia umma kukojoza ndo ilikuwa security yake ili aendelee kumega tonge za jide!! Daaah kweli mjini msingi kiuno
KWA HIYO!! ULIKUWA UNATUMIA PORT AU ... CHA SHIMO?....nimemkojoza mke wangu mara 1000.........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]NIMESIKIA KILIO CHA MTU MZIMA ...
Amnaga iyo bhana ila cjui ila cyo vema kumtukana mwanamke wanaume hawatukanag wananyamazaga tuuLady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
*Kimia=Kimya.Wanawake bhana, jamaa kaimbwa sana kakaa kimia tu,
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha