Aliwadhalilisha wanaume wenye zle tabia alizoziimba kwenye huo wimbo. Kwan we unazo mkuu!?Alivyo imba wanaume kama mabinti hapo nani kazalilishwa..?
Mkuu ina maana Jide alikuwa akiongoza round zote 11 akaja kutandikwa round ya mwisho!?
Anyways....
"RAHA YA MWANAMKE KUMKOJOZA BANA"
ntakusaidia kitu kimoja,kwenye account ya michuzijr ipo ya instagram utaiona..Naomba unitumie mkuu siwezi kufanya kuhukumu kabla sijaona
Mipasho kailalamkia nani au umeamka sasa hivi! Ishu ni Gadna kumkejeli mzazi mwenzake. This is the topic. Mimi mama therefore impossible to happenNa wewe mamako ampige mipasho babako hadharani ungefurahi???
Gadner ametusiwa WAP na wwLady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Ninaposema wanaume simaanish wote....nazan umesahau huu mstar ktk wimboAlivyo imba wanaume kama mabinti hapo nani kazalilishwa..?
The Kapiteeeiiinnnn ameikojoza Chura ya JayDeee 4 fifteeennn yeearrrssssYaani ghafla bin vuu haya maneno
Kukojoza
Chura
Yamekuwa maarufu sanaaa.
Huu mchezo hauitaj hasira (nanukuu)You are very right brother, Jide kamuandamana sana jamaa.
Jide aliongoza round zote za mpambano, jamaa raundi ya 12 karusha upper cut moja mtu chali....raia hawaamini matokeo
Nenda akuoe ukave nafas ya jide alafu nyimbo n kwa ajil ya mashabik siyo gadnerMimi ni ke, lakini nasema hivi nipo upande wa gadna maana siku zote akuanzae mmalize. Jide mara nyingi sana alikuwa anapenda kumuimba mwenzio. Hilo Moja tu watu mapovu yanawatoka
Khatari sana mambo haya.The Kapiteeeiiinnnn ameikojoza Chura ya JayDeee 4 fifteeennn yeearrrssss
Gadner ana mzazi mwenzie na sio jide,jide hakubabatika kupata nae mtoto.Mipasho kailalamkia nani au umeamka sasa hivi! Ishu ni Gadna kumkejeli mzazi mwenzake. This is the topic. Mimi mama therefore impossible to happen
Lakini ni mke wake by default definitionGadner ana mzazi mwenzie na sio jide,jide hakubabatika kupata nae mtoto.
Wanawake wote ambao hawana watoto.
Wanawake wote walioachika na wanaume wao.
Wanawake wote wenye stress.
Wanawake wapenda mipasho.
Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.
Wanaume wenye wivu wakike.
Wanaume wasiopenda maendeleo.
Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.