Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Kwani hakumkojozoza halafu tuangalie na mazingira pia ndio tutoe hukumu, haya mambo yametokea sehem ya ulevi na ukiangalia kwa umakini jamaa alikua tayari kagonga vyombo kadhaa. Ingekuwa amesema hivyo studio sawa alistahili lawawa.
 
Na wewe mamako ampige mipasho babako hadharani ungefurahi???
Mipasho kailalamkia nani au umeamka sasa hivi! Ishu ni Gadna kumkejeli mzazi mwenzake. This is the topic. Mimi mama therefore impossible to happen
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Gadner ametusiwa WAP na ww
 
Mimi ni ke, lakini nasema hivi nipo upande wa gadna maana siku zote akuanzae mmalize. Jide mara nyingi sana alikuwa anapenda kumuimba mwenzio. Hilo Moja tu watu mapovu yanawatoka
Nenda akuoe ukave nafas ya jide alafu nyimbo n kwa ajil ya mashabik siyo gadner
 
Mipasho kailalamkia nani au umeamka sasa hivi! Ishu ni Gadna kumkejeli mzazi mwenzake. This is the topic. Mimi mama therefore impossible to happen
Gadner ana mzazi mwenzie na sio jide,jide hakubabatika kupata nae mtoto.
 
Mwisho tusilaumu saaba gadner amempigia kick kias kidogo maana wengine hata nyimbo walikuwa hawaijui lakn kupitia sakata hil watu wameusikiliza
 
Huyu mleta mada naona kama vile hazimtoshi, au umekosa cha kuopost bota ukakaa kimya kama mie
 
Msikose hiyo tarehe 20 bonge LA shooooooow!!!!
 

Attachments

  • 1462888071164.jpg
    1462888071164.jpg
    22.1 KB · Views: 43
Wanawake wote ambao hawana watoto.

Wanawake wote walioachika na wanaume wao.

Wanawake wote wenye stress.

Wanawake wapenda mipasho.

Wanawake waliozaa wakatelekezwa ambao mjini ndio wengi hasa.

Wanaume wenye wivu wakike.

Wanaume wasiopenda maendeleo.

Wanaume ambao wanatamani wangekuwa wao.
 

Attachments

  • 1462888812582.jpg
    1462888812582.jpg
    22.6 KB · Views: 42
Back
Top Bottom