Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Amnaga iyo bhana ila cjui ila cyo vema kumtukana mwanamke wanaume hawatukanag wananyamazaga tuu

lazima kuwe kuna limit....akivuka mipaka unampa kali kama alivyofanya KAPITEEEEYN...nilikua najiuliza atamvumilia mpaka lini...anamuimba mara ya tatu tena sasa hivi na video juu
 
Ndio zao kigwangala naye kadandia treni kwa mbele... waziri wa afya na sanaa wapi na wapi?
Kigwangalla nimemdharau sana manake cjui atakuwa anadandia issue ngapi za wana-Bongo Flavor matokeo yake ndo hayo; Upendo a.k.a Diva nae anadai kwanini na yeye hakutendewa haki alipopewa za uso na Diamond!!! Yaani issue ya Dr. Mwaka imemshinda anarukia za akina Jide!
 
Amnaga iyo bhana ila cjui ila cyo vema kumtukana mwanamke wanaume hawatukanag wananyamazaga tuu
Acha kujitia u - gentleman fake wewe! Anybody need to be respected no matter what! Wanaume wengi wanajitahidi kwa nguvu zao zote not to insult their couples in public. Ukikutana na mwanamke anayejitambua na kujiheshimu, ata-respect heshima hiyo anayopewa na mwanaume lakini ukikutana na mwanamke mshenzi na asiye na adabu ana - take advantage na kuendelea kukudhalilisha kila anapopata fursa manake ukimya wako anatafsiri unatokana na kukukomesha! By the way, mwanamke anaye-deserve kutunziwa heshima yake ni yule mwenye adabu anayejiheshimu! Hata cku akikosa unafahamu amekosa kutokana na sababu za kibinaadamu... hakuna aliyekamilika! Sasa hebu angalia huyo Jide; sidhani kama kuna msanii wa kike anayemfikia Jide kwa kukorofishana na watu... kama yupo nitajie! Kwahiyo ukorofi wa Jide sio ule ukorofi wa kawaida wa wanawake wengi bali ni mkorofi by nature... na ukorofi wa mipaka yake mtu anaweza kuuvumilia!
 
Alivyo imba wanaume kama mabinti hapo nani kazalilishwa..?
"Ninaposema Wanaume,
Simaanishi wote,
Ila wale wenye tabia,
Ooh kama za mabinti,

Utawaona kwenye magari,
Ya mademu zao,
Wakitanua na kucheka,
Utadhani yao,

Hupenda kuwaliza,
Wamama watu wazima,
Hawana mapenzi ya kweli,
Moyoni wanawaza pesa,

Nikisema wanajiuza,
Katu sitokosea,
Tuwatofautishaje hawa,
Na Machangudoaaaa.

Mnakula kunywa na kuvaa,
Siku zinaendaaaa
Vya bure hupenda kupewa,
Wala hamna fikiraaaa,
Kila upande mnafit,
Siku zinaendaaaaa
Vinywa vimejaa ufitini,
WANAUME KAMA MABINTI"
 
Public awareness against women abuse ndiko alikolenga, I guess!

Wanawake wengi humu JF wanalalamika kwamba Wanaume wao Au wengi hawatosheleze ki mapenzi.Sasa Huyo G kasema alikuwa anamtosheleza Kwa miaka kumi Na tano.Katimiza wajibu wake Kama mme.
 
Ifike mahali muache kudharau na kutukana wanawake

Hao ndio mama zenu na dada zenu
 
Hawezi tu kuambiwa from nowhere. Jide ana maneno sana.
Nakubali lakini hakusimama wima kama alivyofanya yeye kusema mbele ya jamii vile,hata angeka na rafiki zake akaongea
hakuna mtu angejua zaidi ya wale aliokua nao,lakini yeye amezidisha that was too much,na mwanamme kweli ana omba Radhi kwani kitu gani kusema nimekosea Am sorry....
 
Wanawake wengi humu JF wanalalamika kwamba Wanaume wao Au wengi hawatosheleze ki mapenzi.Sasa Huyo G kasema alikuwa anamtosheleza Kwa miaka kumi Na tano.Katimiza wajibu wake Kama mme.
Achana na mambo ya JF humu kuna uongo, ukweli, anonymity and all sorts of things. Watu humu wanaweka hypothetical situation to stimulate debate!
 
Team DVD mtajicarry!!!!
#NdiNdiNdi ndo habare ya mujini. Msisahau tarehe 20 #NaamkaTenaConcert

Kama nakuona vile Captain ushuzi ulivyokuwa unajitutumua pale kati ili usije kosa pocket money, una akili kweli!

hahahahahahhahaha eti team DVD
 

Halafu mbona nimeona huyo dokta Mwaka anaendelea tu na shughuli zake kama kawaida....

Si alifungiwa huyo.....au kifungo kiliisha?
 
Halafu mbona nimeona huyo dokta Mwaka anaendelea tu na shughuli zake kama kawaida....

Si alifungiwa huyo.....au kifungo kiliisha?
Nadhani hata Kigwa mwenyewe aligundua kwamba alikurupuka! Hivi nchi yenye watu dizaini ya Mwaka kila kona unatumia vigezo gani kumfungia mmoja na kuacha wengine!!
 
Duniani hakuna neno baya likitumika mahala pake, nadhani ladjaydee kajiweka mwenyewe kwenye position ya kusitahili kuambiwa hivyo na ninsona kama anajiandaa kujibu mapigo, tutafanyaje sasa? Waendelelee tu maana hasaidiki huyo mdada. Labda arudi kwenye imani yake ya ulokole
 
Nadhani hata Kigwa mwenyewe aligundua kwamba alikurupuka! Hivi nchi yenye watu dizaini ya Mwaka kila kona unatumia vigezo gani kumfungia mmoja na kuacha wengine!!

Kigwa bonge la mchemkaji.

Pia sijasikia tena akifungia watu/ wafanyakazi geti hahahaaaa.
 
...hata angeka na rafiki zake akaongea
hakuna mtu angejua zaidi ya wale aliokua nao,lakini yeye amezidisha that was too much
Hivi huyo Jide angekuwa anaongea na wenzake tu watu wangejiua? Au Jide ni rukhsa kutumia hadhara lakini Gardner; hapana!!

Nyie endeleeni tu kumtetea lakini Jide ni mkorofi tangia hapo! I can bet at least for the next 1 year, Jide anaweza kuwa ndo last person kukashifiwa hadharani na Gardner lakini siwezi kuthubutu ku-bet in favor of Jide unless ni-confirm hana mpango wa ku-release ngoma hapa kati kati!
 
SAWA.............
 
Kigwa bonge la mchemkaji.

Pia sijasikia tena akifungia watu/ wafanyakazi geti hahahaaaa.
Hahaa! Eti mtu anadai kuingia kwa kushitukiza huku akiwa amezungukwa na cameramen! Nchi ina viroja hii....

Nadhani manesi hv sasa saa 12 wapo getini! !!
 
ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
Ni kweli Jide amedhalilishwa sana kwa maneno yale sijui amejiskiaje.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…