Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Hapo najaribu kujenga picha Ru.g.e anamuambiaje G "yani umenifurahisha ulivyo kipa makavu kile kibibi kichawi kikomavu. Eti umekikojoza nyundo 15. Ebwana da umetisha sana. Usikiombe msamaha wala nini. Mi hata faini nitakulipia. Kapiteeyyn!!!”
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima

Ni maajabu ya Musa staajabu ya firauni! Kichaa uliemuacha Mirembe katamka maneno ati unakimbilia kwa sheria akuombe radhi!!!
 
Back
Top Bottom