Wanaonikera Barabarani

Wanaonikera Barabarani

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Kuna watu wananikera sana barabarani kwa matendo na maneno yao. Na hao ni kama ifuatavyo
1. Askari wa Usalama barabarani(baadhi)
2. Waendesha bodaboda
3. Madereva wa daladala
4.
5.
6.
7.........Ongeza wewe ili turekebishane!!!
 
bodaboda.. siku moja nitamtoa mtu roho
 
Lakini Mkuu haujasema kwanini wanakukera hao wanafanya nini ili wewe ukereke
 
Mi hakuna hata mmoja anaenishobokea kwanza naogopwa!![emoji86] [emoji86]
 
... Madreva wanaopenda kutukana tukana ovyo, kunyosheana vidole vya kati.
... Madreva wanaopenda kuchomekeana hovyo, wasiokaa line moja kwa muda mrefu.
Hawa wanaweza kukusababishia kesi.
 
Hawa wanaweza kukusababishia kesi.

Yaani unakuta mtu katoka huko alikotoka ametanua akimwona trafiki anataka kupenya kwa lazima kwenye line, ukimbania anakunyoshea dole la kati!
 
Lakini Mkuu haujasema kwanini wanakukera hao wanafanya nini ili wewe ukereke
Mkuu hao nilioweka namba moja wananikera kukomoa(baadhi yao lakini).....bodaboda na daladala kweli hujui kwanini?!!
 
Mihawanikeri kwasababu sijamiliki mkoko[emoji13] [emoji13]
Alafu hawanikeri kwasababu Misio wa Dar, naishi kijijini kwa raha zangu namiliki swala[emoji605]
 
Yaani unakuta mtu katoka huko alikotoka ametanua akimwona trafiki anataka kupenya kwa lazima kwenye line, ukimbania anakunyoshea dole la kati!
kaka kuna mmoja aliwahi kunifanyia hiki kitendo alikuwa mtu mzima nilishuka nakamfuata nilimwambia maneno ya busara kidogo machozi yamtoke na alikuwa na mwanamke.sidhani kama atarudia.
 
Back
Top Bottom