Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri siku wakikupiga mzinga ndio utajua kuwa hawa sio kero kwa madereva tu, ni kila mtumiaji barabara.Mihawanikeri kwasababu sijamiliki mkoko[emoji13] [emoji13]
Alafu hawanikeri kwasababu Misio wa Dar, naishi kijijini kwa raha zangu namiliki swala[emoji605]
Huku kwetu hawatukamati sisi wenye kumiliki Phoenix [emoji605]Subiri siku wakikupiga mzinga ndio utajua kuwa hawa sio kero kwa madereva tu, ni kila mtumiaji barabara.
Duh kuna watu wanakera na honi. Taa ikiruhusu tu mtu yuko gari ya saba kashapiga honi!wapiga honi ovyo! mtu yuko mbele yako, 20m kabla ya kona aweka indicator kua anakata kushoto, akafika kona akapunguza spidi ili akate kona we unampigia honi..
nonsense. yani honi zinapigwa kwenye kila kitu.
Ulimwambiajekaka kuna mmoja aliwahi kunifanyia hiki kitendo alikuwa mtu mzima nilishuka nakamfuata nilimwambia maneno ya busara kidogo machozi yamtoke na alikuwa na mwanamke.sidhani kama atarudia.
hata abiria??Mi hakuna hata mmoja anaenishobokea kwanza naogopwa!![emoji86] [emoji86]
Wanaoendesha wakiwa wamewasha full lights wakati wote usiku!Kuna watu wananikera sana barabarani kwa matendo na maneno yao. Na hao ni kama ifuatavyo
1.Askari wa Usalama barabarani(baadhi)
2.Waendesha bodaboda
3.Madereva wa daladala
4.
5.
6.
7.........Ongeza wewe ili turekebishane!!!
Bahati nzuri huwa wanaweka buku mbili,tatuBodaboda watakufurahisha zaidi kwenye kuongeza mafuta, wanapenya hawapangi foleni. Sasa ukute aliyesimamia pump ni mdada wanayemjua, akiwaambia wasogee wanampiga majungu wengine wanamtekenya tekenya anakupotezea yani vurugu tu
Dizain Mkuu mie naona Kama unaubinafsi flan barabarani kwa sababu hata kama kisheria inasemwa wazi tuwasaidie driver wa daladala kumbuka yule ni ile gari ni ya biashara bodaboda,baiskeli,watembea kwa miguu na nk tuwalinde barabarani sasa wewe Mkuu ndio unawachukia dizain Kama sikusomiMkuu hao nilioweka namba moja wananikera kukomoa(baadhi yao lakini).....bodaboda na daladala kweli hujui kwanini?!!