Sio kwamba wanateswa wao roho zao mbaya barabara huwa haigombaniwi Kila mtu atafika aendapo shida ni kwamba kuna watu akiwa na gari anajiweka katika level flan halafu kumbuka kuwa hawa watu wa daladala na Pikipiki huwa wapo Fair sana barabarani ukimuomba upite akuachia nafasi halafu wewe akikuomba ukabana yeye anaambua kukuzingua unavyokasirika yeye burudaaaaniDaa!! Poleni sana asee kumbe huwa mnateswa hivyo!!
*taa mkuu.asante kuonaMatumizi ya saa au taa?
Gari kuwa ya biashara haihalalishi wao kuvunja sheria. Unakuta mpo kwenye foleni anatanua kushoto na akiona askari ndio analazimisha kuchomekea. Kuna lanes za masaa kama zile za kuanzia Uwanja wa ndege hadi Gongo la Mboto, unakuta ni asubuhi hivyo lane 2 zinaenda mjini na moja inarudi Gomz ila maajabu yake unakuta daladala amekaa central lane ambayo kwa muda huo inaenda mjini na anakomaa kwa honi na mwendo hatarishi. Wameshasababisha ajali kibao kwa huo mtindo. Bado wanahitaji huruma hao watu?Dizain Mkuu mie naona Kama unaubinafsi flan barabarani kwa sababu hata kama kisheria inasemwa wazi tuwasaidie driver wa daladala kumbuka yule ni ile gari ni ya biashara bodaboda,baiskeli,watembea kwa miguu na nk tuwalinde barabarani sasa wewe Mkuu ndio unawachukia dizain Kama sikusomi
Mkuu huyo mtu wala sikuona umuhimu wa kumjibu.Gari kuwa ya biashara haihalalishi wao kuvunja sheria. Unakuta mpo kwenye foleni anatanua kushoto na akiona askari ndio analazimisha kuchomekea. Kuna lanes za masaa kama zile za kuanzia Uwanja wa ndege hadi Gongo la Mboto, unakuta ni asubuhi hivyo lane 2 zinaenda mjini na moja inarudi Gomz ila maajabu yake unakuta daladala amekaa central lane ambayo kwa muda huo inaenda mjini na anakomaa kwa honi na mwendo hatarishi. Wameshasababisha ajali kibao kwa huo mtindo. Bado wanahitaji huruma hao watu?
Haya unakuta bodaboda na left overtake kwenye narrow roads, ikitokea dharura kwamba ujibane zaidi kushoto unamkuta yeye. Bado sisi ni wabinafsi??
Hao hao boda walishawahinisababishia ajali na haraka zao. Tulikuwa tunapishana na mara ghfla akakunja kona kuja upande wangu wa kulia lakini pia pikipiki ikatereza akaanguka. Ilikuwa ni high way maeneo ya Majumba sita Ukonga. Kitendo cha mie kufunga breki za ghafla kumnusuru gari lilokuwa nyuma yangu pamoja na jitihada zake za breki bado akaja kunigonga gari langu kwa nyuma.
Hapo Boda boda ingekuwa amri yangu ningewaondoa mjini.
Hapo hakuna ubinafsi mkuu ila ni ukweli mtupu. Sheria haina exemption na ni lazima kila mmoja afuate bila kuangalia mazingira
Itakua huko dar wanaume wa huko wana machozi ya karibu, Arusha huku ukiifata njemba inaeza kushushia kipigo cha mbwa mwizi etikaka kuna mmoja aliwahi kunifanyia hiki kitendo alikuwa mtu mzima nilishuka nakamfuata nilimwambia maneno ya busara kidogo machozi yamtoke na alikuwa na mwanamke.sidhani kama atarudia.