Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vijana wa SUMA nikitoa I'd yangu lazima waniamkie. Watanipigaje makofi.Naona wamewahi kumlamba makofi!!
Mambugilambugila kama nyie lazima wawapeleke ili mnyooke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa SUMA nikitoa I'd yangu lazima waniamkie. Watanipigaje makofi.Naona wamewahi kumlamba makofi!!
[emoji23][emoji23] kiukweli siwezi nikaumia roho kwa vitu kama hivi. Kwanini nijitese kwa mambo ya watu. Vaeni kila mahali na ning'inizeni kadiri ya uwezo wenuTukining'iniza funguo za Passo zetu mnaumia, tukining'iniza vitambulisho vya kazi mnaumia.
Hivi nyie watu hamna kazi ya kufanya?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mbona unaleta hii gari yangu hukuHii nimeitoa Insta, nlijua tu itakua na kazi JF. Acha majungu [emoji23]
Kama vyuo vikubwa wana sare kama suti, tshirt na mashati kulingana na siku.Na wale wafanyakazi wanaovaa sare kazini(mfano bank, mawakala wa mitandao ya simu(wasajili line)) nao wasivae tisheti ama sare za kazini?
Wewe ndo unaandika vijembe dhidi yetu ma joblessMbona unaleta hii gari yangu huku
KWA KWELIMaendeleo Hayana Chama
Asavali kaumbuliwa.Wengine ni kujisahau tu............. Namkumbuka mhadhiri mmoja wa chuo flani hivi aligombana Bar na muhudumu akibishia bill, yule Mhudumu akamwambia Mwalimu mzima tena wa Chuo unabishia bili ndogo kama hii.......... jamaa akawa mdogo akalipa kisha akamwuliza yule Mhudumu kama wanafahamiana (Amejuaje kama ni mwalimu wa Chuo). Mhudumu akamgusa kitambulisho kifuani. Jamaa akacheka sana na kujiona bwege - toka siku hiyo anavua hata kabla hajafunga mlango wa ofisi yake.
Waulize wao,sisi tutajuaje wakati hatuning'inizi vitambulisho nje ya ofisi.Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao.
Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu.
Huwa inakua ni mikwara tu.
Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu
Ama ni jambo la kawaida tu.
not jokes ni gia za kutongozeaTunajiona tumeyapatia maisha
Utajuaje mi ni staff, hebu tuheshimiane kidogo 😃😃
(NATANIA)
SIO KWA WOTE LAKINInot jokes ni gia za kutongozea