Wengi huwa hawajui hata kama wamevininginiza.Ila kwa kawaida sio sawa ni aina flani ya ushambaHuwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao.
Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu.
Huwa inakua ni mikwara tu.
Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu
Ama ni jambo la kawaida tu.
Hiyo ni element ya job satisfaction ulishawahi kuwaona walimu wa serikali wanafanya hivyo?Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao.
Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu.
Huwa inakua ni mikwara tu.
Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu
Ama ni jambo la kawaida tu.
Nilikuwa nacheka SanaNiliwahi kufanya kaz voda chini ya erolink miaka hio tulipewa access cards na kamba za voda ,wacha kabisa ile kitu ilikua haivuki shingoni na ikikaa mfukoni sharti kamba ining'inie
Nilikua natembeza rungu komredi kipepe mkaka wa voda.
Ila all in all ulikua ni utoto kipindi hicho nilikua mwaka wa pili chuo, ukiona jitu zima lina kitambi na linafanya hio makitu nilishamba ujue linashoo off.
Inawezekana, sana. Labda anatoka kuchukua spea ya gari iliyoiacha gereji anakoenda kusalimia ndugu yake gari haifiki.Hawatofautiani na yule anaeninginiz funguo za gari kiunoni alafu kutwa mnakanyagana kwenye daladala
Hivyo wengine huvivaa kwa kuogopa kuvipoteza!!Nenda TANESCO UBUNGO, nenda MSD HQ. Staff ukisahau I'd nyumbani huruhusiwi kuingia ndani hata ulie vipi . Labda walegeze masharti sasa hivi. Nimesimuliwa na staff wenyewe pili mimi nafanya kazi karibu na ofisi mojawapo kati ya hizo nilizotaja
We mwamba ulikua VTL nini ?Mara nyingi watu wa namna hyo ukichunguza kwa undani wanakuwa hawana sifa ya kuajiriwa kwenye hyo taasisi husika,wamepita kwa kuchomekwa chomekwa
Sasa wanakuwa hawaamini Kama wapo katika hyo nafasi....
i.e : wafanyakazi wa erolink ambao Ni customer care wa voda,walipopatiwa vitambulisho vyenye nembo ya Vodacom yaani km mgumba kapata mimba....tulipata tabu kweli