Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Maisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa.

Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja so in order vitu vingi kuhusu you have to join with them yaani niliyaona kule sio poa na end of time sikumaliza utafiti wangu kule nikachomoka ila kiukweli watu wa kule wanahitaji faraja sana na upendo! Mental problems is real wala sio poa kabisa.
 
Hukumaliza matibabu?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…