Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mzichi-shifre anafanya utafiti?😂😂😂🤔Huyo alikua kwenye matibabu ila kwa kuwa network hazisomi yeye anajua alikua anafanya utafiti😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzichi-shifre anafanya utafiti?😂😂😂🤔Huyo alikua kwenye matibabu ila kwa kuwa network hazisomi yeye anajua alikua anafanya utafiti😄😄
Bado ana wengeYani zimekuwa nyingi kuliko kujitetea.
Kumbe mtu akiwa kichaa ni zaidi ya waziri wa hela!Bado ana wenge
Sawa mama miaMaisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa.
Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja so in order vitu vingi kuhusu you have to join with them yaani niliyaona kule sio poa na end of time sikumaliza utafiti wangu kule nikachomoka ila kiukweli watu wa kule wanahitaji faraja sana na upendo! Mental problems is real wala sio poa kabisa.
Basi akamatweee, maana analeta tahatuki kwa watu. SIYO POAA, kabisa huyu mtu kubaki mtaani.Mbona ameeleza kuwa ametoroka?😂😂
Ametoka milembe,akili yake imeshajizima data.Hauleweki.
Mbona haulezei mambo. Unaandika tu siyo poa siyo poa.Ndiyo nini sasa? Au upo Milembe?
Umechukia?Comments za humu sio poa kabisa
Nina hofu tu na mtoa mada huko alipo, nashauri angepatiwa ulinzi na serikali ili kuhakikisha usalama wake na mali zakeUmechukia?
😂😂Huyo alikua kwenye matibabu ila kwa kuwa network hazisomi yeye anajua alikua anafanya utafiti😄😄