Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

Sawa mama mia
 
Hahahaaa. Mleta uzi mie nimekaelewa ako kaparagraph ka kwanza tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wenye majalada pale wanakuangalia na kukucheka kwa dharau
 
Hivi ni nani huyo aliyeharibu jina zuri la mabinti wa kisukuma Mirembe kulipeka hospital ya mirembe
 



Mwamba huyu hapa
 
Kuna mwanetu mmoja tulimpeleka huko daily alikuwa anachezea kisago
Kutoka kwa wenzake,alikuwa anajifanya chizi huko alikutana na machizi zaidi yake

Ova
 
Watu wakule wapi hao wagonjwa au wafanya kazi??
 
Andika vizuri basi ueleze kwa kinaga ubaga au na wewe ushapata mental problem...! πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…