GiraffeTz
Senior Member
- Aug 24, 2018
- 123
- 72
unazurula ktkt ya poli ww anaesamehe Dhambi ni YESU pekee hakuna mwanadamu mwenye uwezo huo TANGU kuumbwa kwa Dunia mpaka leoWaweza nionesha alipokatazwa....
kuhani wetu alie baki ni yesu kristo tu anaetuombea kila wakati
ukinanmbia mapadiri ni makuhani unajidanganya mwenyewe ................husamehe dhambi basi jua kama ulienda kuwapigia magoti wakusamehe umebugi nenda piga mwenyewe magoti omba toba kwa MUNGU peke yako