SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
- Thread starter
- #161
Ndio madhara ya watu kama hawa kukimbia kubatizwa na Padri matokeo yake hata leo haelewi maana ya istalahi muhimu katika ukristu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EBR. :10:25Unasema "Leo hatuna haja ya kuungama kwa Padre kwa sababu tunaye Yesu Kristo kuhani mkuu na mwombezi"
Sasa kwanini huwa unaenda kanisani na unasikiliza maubili na mafundisho ya watumishi hata usikae mwenyewe kwako ukaomba peke yako kama unajua na kuamni Yesu Kristo yupo na huitaji kuwategemea wanadamu au watumishi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mpaka lini utajiaibisha ... Yamkini wrwe umeishia lanneAcha mbwembwe wewe biblia ya kiswahili ina neno "KRISTO" siyo "KRISTU"
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka aseme uongo wewe ulishaona kwenye biblia neno padre?Biblia ndio katiba yetu Wakristo....
Nipe Mstari unaosema ni Marufuku mapadre kuondolea dhambi ...mbona ni rahisi tuu.....
Usinipotezee muda
Nipe kifungu cha biblia kinachosema ubatizo ni function ya quantity badala ya quality.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha Ha ha kweli hii ni comedy wote wakitenda dhambi?
Kwa huu uandishi wewe umeishia la ngapi mkuu?
mifano yako yote Hanna padri naona yesu ndo anaefanya na kusamehe sasa apo sijui padre ye anaingiaje kuchukua nafasi ya yesu1. Kwa hiyo umeambiwa Binadamu hawezi kuondoa dhambi? Kajisomee
Zaidi ya Yote, Marko 2:5-10. Baadhi ya watu walipotilia shaka suala la Yesu katika ubinadamu kuwaondolea watu wengine dhambi, Yesu aliwathibitishia kuwa mwana wa mtu anao uwezo huo wa kuondoa dhambi za walimwengu:
“5Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza,“Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.” 6 Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao, 7 “Anathubutuje kusema hivyo? Anamkufuru Mungu! Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake.” 8 Yesu alitambua mara mawazo yao, akawaambia, “Mbona mnawaza hivyo mioyoni mwenu? 9 Ni lipi lililo rahisi zaidi: Kumwambia mtu huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kumwambia, ‘Inuka! Chukua mkeka wako utembee?’ 10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, 11 “Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!”
2. Vile vile, kupitia Luka 5:24, tunaelezwa pia kwamba katika suala la uwezo wa Yesu kuwaondolea watu dhambi alifanya hivyo katika ubinadamu wake na sio kwa ule Umungu wake.
3. Mwinjili Matayo tena katika sura ile ya 18:15-20, anatudokeza jinsi Yesu kabla ya kuwapatia Mitume rasmi uwezo wa kuondolea watu dhambi, alipata kuwadokeza jambo hilo.Uwezo wa kufunga na kufungua ndio kule kuwaondolea watu adhabu za muda mfupi, zitokanazo na dhambi:
“15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.18 Amin, nawaambieni, yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.19 Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. 20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.”
Sasa nani kasema Padri hana dhambi duniani hakuna binadamu asiye na dhambi.. Sasa wote ni wadhambi wote wanauwezo wa kusamehe dhambi kama bwana alivyowapa huyo uwezoHa Ha ha kweli hii ni comedy wote wakitenda dhambi?
Unataka aseme uongo wewe ulishaona kwenye biblia neno padre?
Mambo ya kidunia yako tofauti na mambo ya kiroho. Ndio maana hata wanaokemea pepo wanakemea kwa jina la Yesu. Kama walipewa mamlaka mbona hawakemei kwa majina yao na mapepo yakatoka?
Kuna sehemu wanafunzi wa Yesu wakamjia wakamwambia hata kwa jina lako, mapepo yanatutii. Pepo hatoki kwa jina la nabii/mchungaji/kuhani/padre japo wao ndio wamefanya kazi ya kuomba. Hata kubatiza walipewa maagizo wawabatize kwa jina la baba na mwana na roho na sio wabatize kwa majina yao kwa sababu wao ndio wametenda kazi ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uthibitisho wa maaandiko palipo andikwa kuungama dhambi kwa padre.Kuungama dhambi kwa Padre iko wazi sana kimaandiko. Tatizo ni walokole wengi kufikiri ukishaokoka hutendi dhambi tena. Wanajipa moyo kwa utakatifu wa kutotenda dhambi ambazo wao wanafikiri ndio dhambi ikiwemo uzinzi, kunywa pombe ( hata kama si mlevi) n.k lakini upo uovu mwingi tu wanatenda wakati mwingine kutokana na mafundisho hafifu juu ya dhambi.
Yapo mazingira unaweza kutubu mwenyewe kama upo katika sehemu ambayo hakuna padre na upo kwenye hatari.
Kingine ifahamike kitubio kinaanzia mbali kuanzia kujutia na kukusudia kuacha dhambi then unapoungama kwa Padre ni ukamilisho wa kitubio na kupokea msamaha wa Mungu na hasa inatia nguvu na faraja unaposikia Padre akitamka kwa niaba ya Kristo "umesamehewa dhambi zako usitende dhambi tena".
Sent using Jamii Forums mobile app
imeandikwa wapi aliwapa mapadre mamlaka ya kusamehe dhambiNdio maana Yesu alipokuwa akisamehe wayahudi waliona anakufuru. Sishangai hata nyie kuendelea kushangaa hata pale alipowapa mamlaka hayo mapadre.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma hilo andiko lako kwa lugha ya Kingereza utaona neno forgiven ambalo limetoholewa kutoka lugha ya Kigiriki ambayo ndio iliyotumika kuandika agano jipya neno forgiven kwa Kigiriki lina maana AMPHIEN ambalo kwa Kingereza chake halisi ni have been literally
John 20:23 is not saying that Catholic priests have the authority to forgive sins. It is saying that Christian disciples have the authority to pronounce what sins "have been forgiven
Imebidi nikupe uhalisia though the choice is yours
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uthibitisho wa maaandiko palipo andikwa kuungama dhambi kwa padre.
21 Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.imeandikwa wapi aliwapa mapadre mamlaka ya kusamehe dhambi
Kama unaamini kwamba ubatizo unaondoa dhambi ni kwanini mnawabatiza watoto wadogo??? Huwa wana dhambi gani hasa???Ubatizo huondoa dhambi na maungamo huondoa dhambi.Kwani hujawahi kujibatiza mwenyewe kwa maana si unajua maji ndiyo yanaondoa dhambi na unafahamu fika yanapatika kwenye mito na maziwa au baharini?