Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

Status
Not open for further replies.

How on hell are you going to conduct intellectual debate on non-intellectual issue? Wewe una maoni yako ambayo unataka watu waanzie hapo (kwenye calculation) wakati wengine hata concept yenyewe tu ya kuanzishwa hiyo mahakama inawatia kichefuchefu. Reading your mind, unakereka kweli kweli na ndio maana kila sentensi yako inaishia na 'OK' which means 'that is it'.

Unapowaambia wanaume unahitaji maoni halafu unachagua waseme nini ni ukosefu wa akili. Ikiwa concept yenyewe tu ni kichefu chefu, kuna haja gani ya explore second phase ambayo inainvolve calculations za hoja hewa? Wanufaikaji wa uanzishwaji wa hii mahakama ndio wanatakiwa waianzishe na kuigharamia.

Jana nilikushauri kitu, ila kwa hulka ya mtu dhaifu hukuupenda ushauri wangu na acha niurudie tena: Dini ni imani. Utekelezaji wa misingi ya imani hiyo ndio kipimo cha uhiari wa mtu kuwa wa dini hiyo au lah. Ikiwa mnachohitaji kuamuana kwa misingi ya dini yenu, basi hiyo ni sehemu ya ibada zenu na mnaweza kuyafanya hayo huko huko mnakofanyia ibada zingine. Mimi naamini Muislamu wa kweli atafanya maamuzi kwa mujibu wa sheria za kiislamu na ikiwa hataki basi huyo si muislamu, sasa kama mna mpango wa kulazimishana kuwa na imani, si mlazimishane kwa gharama zenu! Kwa mfn: Kanisa Katoliki lina mabaraza ya ndoa na ustawi wa jamii. Mambo yote yanayohusu matatizo ya ndoa na mahusiano hujadiliwa huko kwa misingi ya imani ya kikatoliki. Ikiwa mtu atapingana na maamuzi hayo ambayo yanaendana na imani ya dini, basi suala hilo litaenda mahakamani. Sasa inatuhusu nini sisi tusio waislamu kuchangia uendeshwaji wa mabaraza ya uamuzi wa ndoa za kiislamu as if ugomvi wenu unatuathiri na sisi?

Wewe umekazana kuzungumzia bajeti as if hizi hela unazozizungumzia ni za msikiti. What if Wakurya tukiamua kesi zetu wa kuwatia mkong'oto kina wife ziundiwe mahakama zake binafs kwa kuwa majaji wa mahakama za sheria hawajui mila zetu?

Intellectual gani usiyejua sheria za nchi yako? Kwanza nijuavyo mimi, Waislamu mambo yao huamuliwa mahakamani kwa mujibu wa sheria za kiislamu. Ni heri ungeniambia mnaandaa mchakato wa kuboresha uelewa wa majaji juu ya sheria za dini yenu kuliko kunilazimisha nishiriki calculation za kodi yangu kuamua matatizo yako ya wewe kuwa na wake 6 na watoto 18. Mtakuwa mna yenu, wala si dini.

Leta hoja ya msingi juu ya kwa nini wasio waislamu wawajibike kuchangia mambo yenu, sio hii.
 
................... mleta mada amejielezea vizuri kuwa: Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ? Ndoa na Mirathi vinaweza kutenganishwa ? (elewa Kiislaam ndoa ni Ibada na kufanya mirathi katika misingi ya kidini ni ibada pia) na linapokuja suala la uchangiaji gharama ndio inakuwa nongwa. Kwani Kodi inalipwa na jamii moja au na wengine wanalipa ? kwanini jamii moja ijifanye yenyewe ndio ina ultimantum ? Hapa ndio makubaliano ya Wakristo na Serikali (MoU) yanapoingia, kwanini kodi ya Watanzania kwa ujumla wao zilipie Taasisi za Kikistro ? Katika hili jamii zingine zilihusishwa ? consider yourself that ur an Interllectual and u a now answering the above arguments !
 
Safi kwa idea nzuri waislamu waunde mahakama hii ndani ya dini yao nasi kwa nchi nzima.
 
Umeongea kwa umakini na uwazi mkubwa. Mwenye akili na azitumie kutafakari hii post.
 

Kama unajua mirathi na ndoa ni ibada unakubaliana na mimi kuwa ni suala la kidini. Je, Shule na Hospitali ni ibada ya KIKRISTO? Ubishi wenu ni wa kienyeji usio na vigezo wala tija na naamini unaletwa na wivu tu na si zaidi. Hebu rejea kauli yako halafu uone namna ulivyopotoka. "Ndoa ya Kiislaam inatambulika kisheria, Je kwanini kataika mirathi iwe ni suala lisilo tambulika kisheria ?" Una ushahidi kuwa mirathi ya Kiislamu haitambuliki kisheria au unaleta ubishi wa kienyeji?

Sheria ya Mirathi ya Tanzania imegawanywa sehemu 3.
1. Sheria ya Mirathi ya Kiserikali ya India ya Mwaka 1865 (Sheria hii hutumika kwa watanzania wote walioacha mila na desturi zao na ambao sio waislamu pamoja na watu wengine ambao sio wazawa.Mara nyingi huchukuliwa kwamba watu wanaokaa mijini muda mrefu wameacha kufuata misingi yao ya mila ya jamii zao,japo sio lazima sana mtu atakuwa maeacha misingi hiyo ya kimila ya asili yake.)

2. Sheria ya Mirathi ya Kimila (inawahusu wale ambao wameendesha maisha yao kwa utaratibu wa mila na desturi za koo na makabila yao. Inamadaraja kufuatana na koo na mfumo i.e Matrilinear au Patrilinear)

3. Sheria ya Mirathi ya Dini ya Kiislamu (Watanzania wote ambao itadhihirika kuwa wameacha mila na desturi zao na ambao Uislamu huwaongoza katika vipengele vyao vyote vya maisha yao,pamoja na watu wengine ambao sio wazawa lakini ni waislamu hupaswa kutumia sheria ya kiislamu katika mirathi yao) Hii sheria ndio inayotambua MIRATHI YA KIISLAMU, sasa unaposema haitambuliki ulitaka itambulike wapi, KANISANI?

Sasa kama una lingine sema, manake hii ndio sheria inayosimamia mirathi yenu sasa haya makelele ya kuelekezwa na watu ambao hawana elimu sijui yanalenga kupata nini. Tuwe na ubishi wenye tija. Na kama kwa mifano na maoni yooote haya bado hutaelewa, basi mna lingine sio hili mnalotumiwa kuzugia.
 
Tumekosa cha kujadili? Hivi na sie tukitaka Canon law itambuliwe na govt itakuaje?
 

Kaka much respect to u. u said well. Mungu wa kiislamu ni wa kuforce tu hana busara hata kidogo.
 

Sasa kwani ukilipeleka mahakamani hili shauri kwa muundo wa sasa hutopata hizo 500m? Halafu ni wangapi mnazo hizo mil 500 mapak mtoke mapovu hivi? yaani mirathi umeona ni muhimu kuliko huduma za afya kuwafikia watanzania wote wawe waislamu au la? Kwani mmeshindwa kabisa kuyafanya hayo mamirathi yenu bila kuishughulisha serikali kigharama? Mimi sio interllectual bali ni ''Intelectual'' yaani mtu mwenye ''intelects'' za kutosha
 
Sawa nilikosea - but still it is approximately 364,900 square miles! Meaning that the country is vast.Ukiwa kama msomi ungeweza kusahihisha kisomi zaidi badala ya kuuliza kuwa ni urefu wa kamba.Nimesahihisha!
Nikiwa kama msomi? Umejuaje nimesoma, nimesomea nini? Hahahahaaa...

Anyhow, sikuuliza kama ni urefu wa kamba, nilisema positively kwamba maili zinapima urefu, kama wa reli, kamba au ukuta wa China, sio ubukwa wa nchi. Ni vema umelielewa hilo la kulisahihisha. Na issue si ukubwa wa nchi, ni ukubwa wa gharama relative to uwezo wa nchi, US ni kubwa mara dufu ya TZ lakini inamudu mahakama zake kifedha. Sisi hatuwezi.


Kama hakuna sheria inayozitambua mahakama za Wakatoliki then unatoa wapi mamlaka ya kudai "maamuzi yake yanaheshimiwa na sheria za nchi ... na serikali haiwezi kuingilia"? Kwa mujibu wa makubaliano ya mkataba gani?

Halafu, serikali isipoingilia, nani ata enforce maamuzi ya mahakama, Wakatoliki au Waislam, au Walokole, wana dola?
 

Na hapo ndipo inapoonesha kuwa wengi wenu are not really intellectuals.
Arguments zenu from the beginning zimekuwa za kishabiki tu badala ya intellect.
Wasomi wazima mnashupalia "tunataka mahakama ya kadhi, la sivyo MoU ya serikali na kanisa ifutwe".
"Tujiunge na OIC la sivyo ubalozi wa Vatican utoke hapa nchini"

Umuhimu wa Kadhi courts (kama upo) utaondoka MoU ikifutwa?
Umhuimu wa OIC (kama upo) utaondoka tukiondoa ubalozi wa Vatican?

Sasa hizo ndizo intellectual arguements zenu? Very funny...

By the way, unasemaje suala la mtoto wa nje kutotambulika na mahakama ya kadhi ilhali tunajua kuna vijana wengi tu wa kiislam ambao wanazaa nje ya ndoa? Nini itakuwa fate ya watoto wa nje watakaokuwa wametokana na vijana hao? Baba za watoto hao wataadhibiwa vipi iwapo Sharia law haipo kamili hapa kwetu? Now this time, jibu as an intellectual.
 
Ni kwanini waislamu hawawezi ku enforce laws zao wenyewe za kiibada kwenye mahakama zao mpaka wasaidiwe na serikali lakini madhehebu mengine ya dini yanaweza?
 
Mbona hapo no.3 hutoa ref yeyote? Hakuna kitu hicho unachoongelea. Ukristo unatumia kodi za nani kujineemesha ? Wewe na wenzio mnapata wapi mandate ya kusema hili ni la ibada na halifai kugharamiwa!? Tukilitaka jambo Inshallah litakua tuu!
 
Ni kwanini waislamu hawawezi ku enforce laws zao wenyewe za kiibada kwenye mahakama zao mpaka wasaidiwe na serikali lakini madhehebu mengine ya dini yanaweza?
Madhehebu gani inaendesha mahakama?
 
Hiyo ni mifano ya kuonyesha hayo mambo yanawezekana, ila yanaendeshwa kwa upendeleo, mmejaa roho ya kwanini!
 
huna hiyo intelect otherwise ungetetea hoja zako badala ya roho ya kwanini! Hivyo kila mtu unamjua alichonacho eeeh ?! Nimekuwekea kipimo cha mtu anachoweza kupoteza ingawa hata mln 5, bado ni pesa pia! Jenga hoja usiongozwe na chuki na ubinafsi ! Hili ni kubwa kuliko mnavyofikiri na cc sio second class citizen ! Linaweza kuigharimu nchi!
 

Huhitaji kuambiwa uwezo wa Watanzania walio wengi. Niambie wangapi wana nyumba za 500ml? Halafu niwe na roho ya kwa nini kwa sababu zipi? Hakuna anayewazuia kuwa na hiyo mahakama suala ni kwa nini gharama za uendeshaji wake ziwe kwa Watanzania wote? HILO LA KUGHARIMU NCHI NDIO TUSILOLITAKA
 
Hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, hawa watu wamezoea kukariri hivyo basi hata ueleze vipi hawataelewa zaidi ya walivyokariri
 
Mbona hapo no.3 hutoa ref yeyote? Hakuna kitu hicho unachoongelea. Ukristo unatumia kodi za nani kujineemesha ? Wewe na wenzio mnapata wapi mandate ya kusema hili ni la ibada na halifai kugharamiwa!? Tukilitaka jambo Inshallah litakua tuu!

To this point, my concern is not the topic but your sanity.
Kwani wewe na wenzako mnapata wapi mandate ya kutulazimisha kugharamia ibada zako?

Come to think of why we are this poor as a country, the answer is ELIMU. Kama huwezi kuelewa niliyotumia muda mwiiingi kukueleza, hutakuja kuelewa kitu, hamtakuja kufaulu mitihani (mtaendelea kusema fulani anasahihisha ya kwetu vibaya) na hamtakuja kufanikiwa. Kama nyinyi mnaowakilisha hapa ndio intellectuals, I can not think of wamama wa nyumbani from your society. It is indeed painful to consume that for some reason we are related.
 
Hiyo ni mifano ya kuonyesha hayo mambo yanawezekana, ila yanaendeshwa kwa upendeleo, mmejaa roho ya kwanini!

For some times in the past niliamini pengine kuna ukweli kuwa mnaonewa. Judging from your views and presentations napata picha. Amini nawaambia, kama kuna HR anaweza kuajiri mtu mwenye mawazo kama yako, Topical na Malaria Sugu basi na yeye lazima ana akili kama zenu au hayuko serious na anachokifanya. Siwatukani ila nastaajabia namna mlivyoumbwa. Kazi yeyote hata kama ya kukaa getini inahitaji sio madarasa tu, bali power of reasoning. Sasa sijui mtaamua kwenda shule muelimike au muendelee kuwa mizigo na mafungu ya manung'uniko.

Ukitaka kuelewa wengine wanasema nini, futa hiyo chuki inayosababishwa na wivu na udhaifu halafu tulia usome maoni ya watu ukizingatia kuwa hakuna anayekuchukia, bali tunakuhurumia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…