Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

Status
Not open for further replies.
Niliona ndugu yangu alivyonyanyaswa na hao hao viongozi wetu pale mumewe alipompa talaka 2 za kumkomoa kusudi tu asiolewe tena.?
Hakuna Kitu katika sheria ya ;kiislam kuwa eti mume akimua cha mke Talaka mbili au Tatu Au sita au kumi kuwa eti asiolewe tena Mtu

mwengine Hicho kitu hakuna katika sheria ya kiislam umekipata hebu tuonyeshe wapi umekipata? Waachieni Waislam Wanaotaka mahakam ya Kadhi wakristo haiwahusu hiyo Mahakama ta Kadhi.
 
kwa jinsi ulivyoelezea talaka 2 kuwa zinazuia mtu asiolewe aidha wewe hujui chochote au ni mnafiki ! Maana ya talaka ni kuachana! Sasa iweje mtu kaachwa halafu umzuie asiolewe!? Umapata wapi hiyo authorite? Hapo ni rukhsa kwa raha zake. Angempa talaka 3 ndo haruhusiwi hata kumrudi (huyo alieacha), dada jipange tena ! Hivi inakuaje mtu kapewa talaka halafu mwende mahakamani kuvunja ndoa ? Haiingi akilini kabisa!
 
Afadhali wewe umejua kuwa haituhusu, sasa waambie na wenzio kuwa haituhusu kwa hiyo ni jukumu lenu kuianzisha na kuihudumia.
 
Afadhali wewe umejua kuwa haituhusu, sasa waambie na wenzio kuwa haituhusu kwa hiyo ni jukumu lenu kuianzisha na kuihudumia.
Tunataka ihudumiwe na kodi zetu, na pia Mahakim(Kadhi) wawe na nguvu za kukaza sheria/hukumu kupitia vyombo vya dola (mfano; kumwita mtu Makamani au kukamatwa au kuzuia-injunction nk)
 
Hivi kanisa linaweza kuzuia au kukamata mali ya muumini wake katika dispute kama wanavyofanya Madalali wa Mahakama ?
 
Hii ndio tofauti ya dini yetu na dini yenu. Umeonesha ni jinsi gani imani yenu ilivyo ya kulazimishana. Kwetu sisi kutengwa na kanisa ni ishu kubwa kuliko custody ya watoto na hela. Na kwenda usharika mwingine ni kituko kwa kuwa utakuwa umemdanganya nani, Mungu? Elewa kuwa Mungu wetu ni mwenye nguvu kwa hiyo hatuhitaji mahakama kumsaidia kufanya kazi zake. Haya tunayofanya hapa duniani ni kupeana mwongozo wa namna gani tuishi kwa kumpendeza Mungu.

Kama mungu wako amekuwa dhaifu kama mamlaka za dunia kiasi inalazimu kutumia nguvu kuwalazimisha watu kufanya mambo ya kiimani kwa mabavu basi ni suala la kujitazama upya. Hebu fikiri kwa haki halafu jijibu wewe mwenyewe: Kama uislamu unasema A,B,C hiyo inamaanisha kuwa waislamu wanatakiwa wafanye ABC. Sasa ikiwa mtu hayuko tayari kufanya ABC kuna maana gani zaidi ya kuwa hana haja na uislamu wenyewe? (Hapo ndio mnapoanza kulazimishana kwa mahakama na majambia na mawe mpk kufa)
 
Hivi kanisa linaweza kuzuia au kukamata mali ya muumini wake katika dispute kama wanavyofanya Madalali wa Mahakama ?

Haliwezi. Labda nikuulize, juu ya nini kanisa litakiwe kukamata mali za mtu?
 
Tunataka ihudumiwe na kodi zetu, na pia Mahakim(Kadhi) wawe na nguvu za kukaza sheria/hukumu kupitia vyombo vya dola (mfano; kumwita mtu Makamani au kukamatwa au kuzuia-injunction nk)

Kodi ni za wote sio za waislamu. Kama mna kodi zenu binafsi basi kuweni huru kuzitumia kulazimishana imani. Ila hizi tunazochanga kwa pamoja ni kwa maendeleo ya nchi na sio za kuundia vyombo vya kuwalazimisha watu kufunga ramadhani, kutoa talaka, kugawa mali ya marehemu kwa kaka zake as if mjane hajui cha kufanyia nazo n.k

Kazi ya kodi za nchi ni kuleta maendeleo ya JAMII na sio dini. Kuhusu kupewa nguvu ya kisheria nafikiri hilo limeruhusiwa as far as msijihusishe na kesi za jinai mkaanza kukata watu mikono. Na amin nakwambia, hiyo mahakama hata itakapokuja kuanzishwa, itaongeza wingi wa kesi ktk mahakama za rufaa.
 
Kuna haja gani ya kutoa hukumu isiyofanya kazi ? Hapo hamna mahakama wala hukumu tukio zima halina maana , null and void, Hizo ni jokes tuu!
 
Nazile zinazochangia taasisi za kanisa (MoU) ? Wagalatia kwa choyo? Na fitna itaanzia hapo!
 
Haliwezi. Labda nikuulize, juu ya nini kanisa litakiwe kukamata mali za mtu?
Umejibu vyema 'haliwezi' sasa sisi Waislaam tunataka Mahakama hiyo iwe na uwezo wa kukamata ghorofa pale Kariakoo kama kuna ukiukwaji katika mirathi (dispute) na mwishowe mwenye haki apewe ! Kidogo kidogo mtaelewa tuu!
 
Kwa vile mnaongozwa na chuki na roho ya kwa nini, kila msilolijua mnaliingiza humu ! Hivi unamlazimishaje mtu kufunga ? Kwamba watawekwa walinzi kukagua kila anaekula ? Ni wazi haliingi akilini ? Lakini mjane akidhulumiwa urithi mpaka haki za binaadam watafungua kesi(Tamwa/NGO's)
 
Umejibu vyema 'haliwezi' sasa sisi Waislaam tunataka Mahakama hiyo iwe na uwezo wa kukamata ghorofa pale Kariakoo kama kuna ukiukwaji katika mirathi (dispute) na mwishowe mwenye haki apewe ! Kidogo kidogo mtaelewa tuu!

Nilimaanisha kanisa halina interest na mali za watu. Kama ugawaji unatakiwa kufanywa kwa misingi ya imani, basi kwetu sisi imani si maguvu na kushurutishana.
 
Kumbe unajua kuwa kufunga ni imani ya mtu kwa kuwa ni ibada. Basi ndio maana nikakwambia kuwa hata mirathi km unaamini ni quran ndio imesema hivyo basi na ifuatwe kwa imani ya mtu bila shurti. Kama ambavyo unaona ni kichekesho kumlazimisha mtu kufunga, ndio hivyo huwezi kumlazimisha mtu kugawa mali yake kwa kaka na shangazi zake wkt yeye alitaka irithiwe na mke na watoto wake.
 
Kwanini tuwe sawa na wakatoliki!?
 
Nazile zinazochangia taasisi za kanisa (MoU) ? Wagalatia kwa choyo? Na fitna itaanzia hapo!

Hapo ndio kwenye ujinga wako. Hivi pale kwenye mahakama ya kadhi ni sawa na hospitali na shule ambayo kila mtu hutibiwa na kusoma bila kuangalia dini wala kabila lake?

Tumia akilli kufikiri. Kinachowasumbua ni yale mazoea mliorithi kwa waarabu ya kutokupenda kuwajibika. Hospitali ni kwa ajili ya jamii nzima tofauti na hiyo mahakama ya ndoa za kiislamu. Hivi ni kweli huoni tofauti au ndio akili zile zile za kwenye mihadhara?
 
Kwanini tuwe sawa na wakatoliki!?

Well then, if you want to be exceptional kuwa kwa gharama zako, we vipi bana!

Na nakuhakikishia huwezi kuwa kama mkatoliki kwa kuwa umezoea kushurutishwa.
 
Nilimaanisha kanisa halina interest na mali za watu. Kama ugawaji unatakiwa kufanywa kwa misingi ya imani, basi kwetu sisi imani si maguvu na kushurutishana.
Ni kwa sababu hiyo ya wakristo sio mahakama ni baraza la usuluhishi ! Sie tunataka mahakama yenye nguvu (authority) na hukumu zake zinatekelezwa sawia ! Hatutaki yetu ifanane na yenu ! Sie hatuongozwi na maoni ya watu, bali na QURAN !
 
Uislaam haufuati maoni wala maelezo ya mtu ! Haya mambo yote ya refence tunafuata (Quran) hivyo wewe huna expertise yeyote ya kufanisha hili wala lile ! Dhulma ni dhambi kama kuabudu msalaba!
 
Well then, if you want to be exceptional kuwa kwa gharama zako, we vipi bana!

Na nakuhakikishia huwezi kuwa kama mkatoliki kwa kuwa umezoea kushurutishwa.
kwanini gharama uhukumu wewe ? Kwani hela zako peke yako ? Naomba usiku na mchana nife hali yakuwa nimejisalimisha ! Na Allah aninusuru na masanamu !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…