Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hakuna Kitu katika sheria ya ;kiislam kuwa eti mume akimua cha mke Talaka mbili au Tatu Au sita au kumi kuwa eti asiolewe tena MtuNiliona ndugu yangu alivyonyanyaswa na hao hao viongozi wetu pale mumewe alipompa talaka 2 za kumkomoa kusudi tu asiolewe tena.?
mwengine Hicho kitu hakuna katika sheria ya kiislam umekipata hebu tuonyeshe wapi umekipata? Waachieni Waislam Wanaotaka mahakam ya Kadhi wakristo haiwahusu hiyo Mahakama ta Kadhi.