Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

Usiku unapoingia sio tatizo ila unapaswa kuwa mwangalifu na ujue namna ya kutembea kwenye giza. Uwe mwangalifu na uijue vizuri NWO la sivyo utatumbukia shimoni.
Mimi ambacho siamini ni kwamba eti New World Order sijui ni mpango WA shetani blah blah blah
 
New world order wanayoipigia kampeni wachache wanaojua nini maana na makusudio yake sio hiyo ulioyoielezea hapo. Ni mkusanyiko wa ‘mapya’ yenye lengo la kuondoa yale mazuri yaliyopo na yaliyoasisiwa na watu wema na Mungu. Agenda hii ni ya kijanja na wengi wanafikiri ni jambo la kawaida tu.

Ni kweli new world order sio kitu kigeni duniani kila karne au miongo kadhaa hutokea. Mfano Yesu aliketa new world order na ndio unaona mambo mengi duniani ni Christocentric. Sasa inataka kuletwa new world order nyingine ambayo ni counteractive na hii iliyopo where everything Christian will be erased. Unaweza kuwa mmoja wa wanaotaka kufanya hivyo kwa kujua ama kwa kutojua na ndivyo huo mpango unavyofanya kazi.
Unataka kusema ijayo itakuwa Islamcentic, au atheiscentric mkuu?
 
No comment rather than saying wewe jamaa ni mjinga.No body is saying the NWO is not coming, it is coming not doubt about it,but is not good for humanity,because it is a concept right from the pit of hell and Satan will be the ruler on earth for a brief period of seven years through the Anti-Christ,but God will destroy him at the end of those seven years.The seven years,especially the last three and a half, will be years of torment and murder which humanity has never witnessed .

Satan has been seeking rule over humanity since he was cast out of Heaven by God.He will however be granted the seven years to torment those who have rejected Christ including you.

Let me finish by telling you this, pamoja na kusoma sijui 20. or so books about the NWO,you are still illiterate about the NWO.Na hivyo viandiko ulivyo jifanya kuvi-quote wala hukuvielewa,kwa kuwa huwezi kuelewa the Holy Bible without the Holy Spirit.
 
Unataka kusema ijayo itakuwa Islamcentic, au atheiscentric mkuu?
Itakuwa kiti kinachopingana na hiyo iliyotangulia e.g. atheistic, homocentric, au hata antichrist and maelekeo mengine yanayopingana na CHRIST kama vile Islamism, Budhism, Confusianism, Materialism, etc
 
No comment rather saying wewe jamaa ni mjinga.No body is saying the NWO is not coming, it is coming not doubt about it,but is not good for humanity,because it is a concept right from the pit of hell and Satan will be the ruler on earth for a brief period of seven years through the Anti-Christ,but God will destroy him at the end of those seven years.The seven years,especially the last three, will be years of torment and murder which humanity has never witnessed .

Satan has been seeking rule over humanity since he was cast out of Heaven by God.He will however be granted the seven years to torment those who have rejected Christ.

Let me finish by tell you this, pamoja na kusoma sijui 20 books,but you are still illiterate about the NWO.Na hivyo viandikio ulivyo jifanya kuvi-quote wala hukuvielewa,kwa kuwa huwezi kuelewa the Holy Bible without the Holy Spirit.
Thibitisha shetani yupo
 
Hapo kwenye matabaka, watumwa watakuwa kazi yao nini? Maaana teknolojia tayari haimuhitaji mtumwa au watimwa wa ngono ba fikra sio wa kazi?
Ulaya kazi zote zinafanywa na mashine na za nyumbani wanaunda Robot sasa mtumwa wa nini ? Au wa kuwaimbia mabwanyenye ? Fafanua vizuri hapo.
Halafu ile harakati ya kusoma vitabu vya physics na hesabu umeishia wapi ?
 
Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" .

Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria.

Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho.

Mnadanganywa sijui shetani mara mpinga kristu vitu gani . Ujinga mtupu.

Hata kwenye vitabu vyenu vya Dini mitume na manabii wenu wana sapoti New World Order.

Mfano kwenye Bible "Revelation 21:1" unazungumzia kuhusu kushushwa Kwa mbingu Mpya na dunia Mpya. Andiko linamaanisha kusimikwa Kwa mfumo Mpya WA maisha ya hapa duniani ambao utakuws facilitated na maendeleo ya teknolojia.

Kwenye mfumo huo wa dunia Mpya hakutakuwa na magonjwa wala Vifo( Kwa sababu teknolojia itakuwa advanced na " Human mortality" will be a real thing. Kupitia teknolojia hiyo hiyo wafu watafufuliwa)

Mafundisho ya Dini ya kiislamu yanafundisha kuhusu siku ya Qiyama (kihama)ambayo Nabii Issa( Yesu) atashuka duniani.

Hukumu itatolewa wema wataenda peponi wabaya Jehanamu.

Ndio mfumo Mpya huo maisha ( New World Order)

Peponi itakuwa ni kula bata tu hakuna Kufa, Hakuna magonjwa, Hakuna Ibada ni kula raha tu ( Ndio New World Order yenyewe hiyo mkuu)

Conspiracy theorists wa New World Order wanasema kwenye mfumo Mpya wa dunia kutakuwa na matabaka mawili tu moja la matajiri na jingine la watumwa,😁😁😁 mafundisho ya Ukristu na Uislamu yana sema kutakuwa na pepo na Jehanamu. Wema wataenda peponi wabaya Jehanamu. Sasa huoni ndio New World Order yenyewe hiyo 😁😁😁



Naunga mkono New World Order. Ole wako nikujue unapinga New World Order ntakucharaza viboko mpaka utoke machozi ya damu
Ata mke wa m2 akimpata basha mpya mwenye ela anamwona mumewe boya,so sikushangai!!!
 
Watoto wa 2000.
Au walio lelewa na mzazi mmoja
Utawajua tu
 
Back
Top Bottom