GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na kitabu chake sawa.

Lakini kitabu cha wakati huu kimekiukwa.
 
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wacha uongo. Salim Ahmed Salim alifanyiwa hujuma gani; hujui?

Lakini pamoja na kujisahaulisha hayo, ninakushukuru sana kwa kuweka hiyo video ya huyo mwananchi. Kama ndani ya nchi hii bado wamo wananchi wa aina hii, kwa nini tuwe na hofu hivi?
 
Utaratibu ni upi unaoujuwa wewe; udanganyifu na ulaghai mwingi?
Nmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️

Miaka 6 akiwa makamu na miaka 4 akiwa raisi uoni hio ni 10 tayari na awamu kabisa, au akiwa makamu hio sio awamu?
Bro, unajielewa?

Sasa kuwa makamu na kuwa rais kuna ingiliana vp?
Bc na mtu akiwa Waziri afu akija kuwa rais nae miaka yake ihesabike kama ulivyosema hapo.
 
Hawawezi kuwataja na hawapo ila kinachowasubua ni wivu na hila zilizowafanya kudhubutu kujaribu kuipindisha katiba ya nchi ili tu Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan (Rais) asiapishwe kuwa Rais wa Tanzania jambo ambalo mkuu wa majeshi mzalendo kupindukia - CDF V.S. Mabeyo (Mstaafu) hakutaka kumumunya maneno wala kupepesa macho katika kuwapinga na kuwataka wajue katiba ya nchi inataka nani aapishwe mara baada ya kifo cha Rais.

Wakae kwa kutulia sisi watanzania tutahakikisha uzalendo wa CDF wetu mstaafu tunauendeleza ipasavyo.
 
Fuateni taratibu tu, kwani hizi sarakasi zote ni za kitu gani?

Kuna kitu mnakiogopa na mgombea wenu?
inawezekana hujui hata kusoma hata mstaari mmoja wa Katiba yaani upo upo tu kama bendera fuata upepo. what is your content
 
Ml
Nmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️

Bro, unajielewa?

Sasa kuwa makamu na kuwa rais kuna ingiliana vp?
Bc na mtu akiwa Waziri afu akija kuwa rais nae miaka yake ihesabike kama ulivyosema hapo.
Unaniuliza mimi kama ninajielewa? Hii ni bange au ulevi wa kitu gani!
Sasa maana ya maelezo hayo uliyo toa hapo ni nini?

"Miaka sita akiwa makamu wa Rais; miaka minne akiwa rais",...; katika awamu ngapi? Unajuwa!

Na kama ni hivyo, utaratibu wake ni uPi; wewe unasema umeeleza; waPi umeeleza?

Hata unacho lenga kueleza, naona hukijui; kwa sababu hilo la waziri sioni linaingia vipi kwenye maelezo ya jambo hili linalojadiliwa hapa.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Wacha watu wachukuwe form halafu ndio utajuwa hao wagombea . Chama gani hakiwezi ha t a kuheshimu katiba yake.
 
Back
Top Bottom