GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kinachokutia kiburi ni kujidanganya kwamba mnao ma-'Rear Admiral' na Majenerari wengine uliodiriki kutuonyesha hapa.
Kiburi mnachoonyesha na kuwadharau waTanzania ni kuamini kwenu kwamba mitutu wanayoshikilia akina Jumanne Murilo; akina ACP Awadh na wengineo ndiyo itakayo wahakikishia usalama wenu katika kulinajisi taifa hili.
Ni nani asiyejuwa kwamba mmeweka wateule wa GENGE kila eneo hadi magereza na kwenye mahakama hadi kwenye mawasiliano na Usalama wa taifa, ili kulinda maslahi yenu.
Sasa mnawatumia hao hao kuwanyanyasa waTanzania.

Kwa hiyo mbinu zote sasa zinajulikana. Dawa mtainywa kwa nguvu.

"...tuacheni tuajengee nchi kazi ambayo mlishindwa." Akili ile ile ya kujiona kuwa nyinyi siyo wala ugali wa mahindi!
Maana yake ni kwamba sisi wala ugali wa mahindi bila ya nyinyi hatuwezi kufanya maendeleo ya nchi yetu.
You're worse than a rotting corpse!
Nchi iko salama kabisa na Rais yuko salama anafungua miradi wenye manufaa kwa wananchi wote. Kelele zenu sio deal, zinasaidia wanye jukumu la kulinda mipaka na wananchi wazidi kuwa macho na kuongeza juhudi ujuzi na bajeti zao kwenye ulizi, upelelezi na kudhibiti viashiria vyote vya kikora. Wao wakijaribu kuvuruga amani vyombo vya ulinzi havitajaribu kama wao bali wataenda full blow, maana adui ni adui na chanzo cha moto ni cheche ndogo. Cheche itazimwa kwa nguvu ya kuzima moto mkubwa.

Tubishane hivihivi jf kuonyesha kuwa Tz tuna demokrasia pana ya kuandika, na kuzungunza, lakini tusiende mbali ya hapa ili tuendelee kuwa wamoja na hai.
 
EEEEeeeenHEEeeeeee!
Hii ndiyo sayansi uijuayo wewe?
Kweli kichwani huna kitu kabisa!

Hivi haPa unajiona kuwa umetoa bonge la ushahidi wa kisayansi kuhusu matumizi ya mahindi kama chakula?
Umeelewa kilicho zungumziwa kwenye video hizo?
Nilichofanya hapa nikukupa area of research. Jiulize kwani dunia ya wengi haili unga wa mahindi. Tafuta articles, na angalia patterns za wala ugali wa mahindi na Wala sources nyingine za carbohydrates kwenye uwezo wao wa kufikiri na maendeleo.

Utagundua kuwa Wala mahindi wako hatua chache tu mbele ya akiri za ng'ombe, nguruwe, nyani, kima, na Wala mahindi wengine. Hata wakiwa matajiri basi ni utajiri wa ng'ombe wengi, watoto wengi, wake wengi, nyumba nyingi, magari mengi mashamba mengi, nk.
 
Back
Top Bottom