GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kalamu ya hovyo, hebu msikie JPM kisha utoe comments.
Nimeisikiliza hiyo video uliyoniwekea hapo.

Hadi uiweke, ina maana imekukoga sana moyo wako, kwa sababu inaunga mkono mnayoyaigania nyinyi.

Mimi sikuona lolote la kunivutia sana nikiangalia maslahi maana ya nchi. Ninachoona ni kampeni ya kuendeleza usultani, na kuzidi kuididimiza nchi yetu.
 
Wewe nimekuweka daraja la pekee kidogo zaidi ya mizoga wenzio humu JF. Wewe umediriki ahata kutafuta ushahidi wa ma-'Rear Admiral' ambao unadhani watatulazimisha kuwa watwana zenu; kwa vile tu kundi lenu siyo kundi la "wala ugali wa mahindi".
Wewe umejitambulisha zaidi ya wote kuwa ni mpambanaji wa kipekee zaidi katika kupigania maslahi ya GENGE.

Kwa hali hiyo, MZOGA wako nitauchukulia tofauti kidogo na hiyo mizoga mingine; kwa vile unao mvundo mkali zaidi unaoweza kuleta maangamiza makubwa kwa waTanzania

Sijasikiliza hiyo video; na sijui maana yako ya kuniwekea mimi. Msimamo wangu kuhusu huyo kiongozi marehemu unajulikana humu JF. Sasa sijui maana yako ni nini kunitaka niisikilize.
Hilo la ugali wa mahindi sio la kubishiana, sio langu ni sayansi tu na tafiti, ni bahati mbaya tu wewe ulikuwa hulijui. Mahindi ni chakula cha nguruwe na mifugo mingine ambayo akili zao sio lazima ziwe sharp kama za binadamu na wanyama wengine ambao hawali mahindi kama simba, fisi, chui, mbwa, nk. Ni heri ya yule anaekula yale mahindi mabichi angalau ana ahueni kuliko ane tandika sinia la ugali mgumu; haelewi hata ukimwelewesha, ana hasira nyingi ingawa ana maguvu mengi ya kubeba na kutenda.
 
Nimeisikiliza hiyo video uliyoniwekea hapo.

Hadi uiweke, ina maana imekukoga sana moyo wako, kwa sababu inaunga mkono mnayoyaigania nyinyi.

Mimi sikuona lolote la kunivutia sana nikiangalia maslahi maana ya nchi. Ninachoona ni kampeni ya kuendeleza usultani, na kuzidi kuididimiza nchi yetu.
Huenda una hoja nzuri ya kumkataa mama, lakini hutaki kuinena ili watu wapate kuitafakari. Hakuna mtu asiyependa mema yatokee kwenye nchi yetu. Tushirikisheni basi na sisi ubaya wa huyu mtu na watu wake ili sote tuwe kwenye chapter moja. Lakini hata kabla ya kuwa Rais, tunafahamu kuwa kuna watu hawakupenda ashike nafasi ile ya kikatiba baada ya mzee JPM kufa. Shida ni nini?
 
Hilo la ugali wa mahindi sio la kubishiana, sio langu ni sayansi tu na tafiti, ni bahati mbaya tu wewe ulikuwa hulijui.
Wewe na sayansi wapi na wapi? Mzoga unaovunda utaanzia wapi kujuwa sayansi ni kitu gani?
Unakuja kujiandikia tu haPa matakataka; sasa unasema ni sayansi?

Unajuwa 'chemical structure' ya starch (wanga)?
 
Huenda una hoja nzuri ya kumkataa mama, lakini hutaki kuinena ili watu wapate kuitafakari. Haakuna mtu asiyependa mema yatokee kwenye nchi yetu. Tushirikisheni na sisi ubaya wa huyu mtu na watu wake ili sote tuwe kwenye chapte moja. Lakini hata kabla ya kuwa Rais, tunafahamu kuwa kuna watu hawakupenda ashike nafasi ile ya kikatiba baada ya mzee JPM kufa. Shida ni nini?
Mkuu. 'kavulata', ninapofikia hitimisho la kudharau mabandiko ya mtu humu JF, elewa kuwa sifanyi hivyo kwa ushabiki shabiki tu huu wa kivyama mnaoufanya nyinyi humu.
Nilisha eleza mara nyingi sana kwa nini sikubaliani na siasa za Samia Suluhu Hassan; sasa wewe unataka nirudie rudie tuuu, sijui mara ngaPi. Najuwa huu ni mtindo wenu (mizoga), mnao utumia kuPotezea watu muda humu.
Nyinyi mnashikilia uzuri wake kwa kututajia miradi inayotekelezwa; na kuifanya kana kwamba ndiyo bei halisi ya kudhalilisha utu wa waTanzania!
Hamtaki kuangalia mambo ya msingi anayo yaharibu; mnatusisitizia tu miradi na unadishaji wa raslimali za waTanzania.
Sasa unataka niyarudie rudie humu mara ngapi ndipo uelewe kuwa Samia siyo kiongozi mwenye nia nzuri na taifa hili!

Lakini ngoja nikuulize: huyu kiongozi mzuri, kwa nini hataki waTanzania watumie haki yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka wao?
Kama kafanya haya mambo mazuri kwa nchi hii; hawa waTanzania hawana akili ya kutomchagua kiongozi wao aliye wafanyia kazi nzuri?
Kwa nini uchaguzi tu uwe wa matatizo kiasi hiki; kwamba hata ndani ya chama chake tu, haamini kuwa wenzake watamtendea haki kwa kazi nzuri aliyofanya; kiasi kwamba afanye ulaghai kujipitisha kuwa mgombea pekee ndani ya chama?

Unataka uelezwe kitu gani ndiPo uelewe, kumhusu Samia Suluhu Hassan na GENGE lake; ambao ndio unaowatumikia wewe kwa kuja humu na kulaghai watu.
 
Hilo la ugali wa mahindi sio la kubishiana, sio langu ni sayansi tu na tafiti, ni bahati mbaya tu wewe ulikuwa hulijui. Mahindi ni chakula cha nguruwe na mifugo mingine ambayo akili zao sio lazima ziwe sharp kama za binadamu na wanyama wengine ambao hawali mahindi kama simba, fisi, chui, mbwa, nk. Ni heri ya yule anaekula yale mahindi mabichi angalau ana ahueni kuliko ane tandika sinia la ugali mgumu; haelewi hata ukimwelewesha, ana hasira nyingi ingawa ana maguvu mengi ya kubeba na kutenda.
Sasa angalia bandiko la kipuuzi kabisa kama hili, ambalo mtu na akili zake timamu anadiriki kuwekea watu wapoteze muda wakilijadili.
Unazo wewe 'References' za machapisho ya kisayansi ya utafiti huu? Unayo elimu yoyote inayokuwezesha kutafakari na kujuwa ni nini kinazungumziwa kwenye machPaisho hayo.

Sayansi siyo ngonjera mlizo zoea kuziimba na kuhadaa watu. Sayansi ni fani ya kutumia akili, siyo jambo la kufikiria tu na kujisemea hovyo kama ulivyo onyesha haPo juu.. Naifahamu sayansi; kwa hiyo usiniletee upuuzi hapa.
Hata bila kuijua hiyo sayansi; mtu mwenye akili nzuri utashindwa kuelewa kwa nini mahindi wanalishwa mifugo?
Gharama za uzalishaji mahindi ni ndogo kulinganisha mazao mengine. Kwa hiyo mahindi yanatumika kupunguza gharama za uzalishaji wa hao wanyama, ambao ni chanzo chepesi cha 'protein'; lakini mtu kama wewe; huna akili za kufikiri hivyo!
 
Lakini hata kabla ya kuwa Rais, tunafahamu kuwa kuna watu hawakupenda ashike nafasi ile ya kikatiba baada ya mzee JPM kufa. Shida ni nini?
Hana uwezo wa kuongoza. Kwa nini hili hamtaki kulielewa; na badala yake mnatafuta sababu zenu nyingine?

Mwambie asimame yeye kama yeye, agombee na wengine bila ya mizengwe.
Kwa vile mnamwona uwezo anao, hakuna hofu waTanzania watamchagua yeye.

Shida ni nini hadi mtumie udanganyifu na nguvu nyingi, hata za kuhatarisha usalama wa nchi yetu kwa sababu ya mtu huyu?
Kwa nini hamtaki kuwaamini waTanzania, ambao ndio mnao waongoza!
 
Hilo la ugali wa mahindi sio la kubishiana, sio langu ni sayansi tu na tafiti, ni bahati mbaya tu wewe ulikuwa hulijui. Mahindi ni chakula cha nguruwe na mifugo mingine ambayo akili zao sio lazima ziwe sharp kama za binadamu na wanyama wengine ambao hawali mahindi kama simba, fisi, chui, mbwa, nk. Ni heri ya yule anaekula yale mahindi mabichi angalau ana ahueni kuliko ane tandika sinia la ugali mgumu; haelewi hata ukimwelewesha, ana hasira nyingi ingawa ana maguvu mengi ya kubeba na kutenda.
Ni muhimu niseme.
Ninakusikitikia sana kama hizi ndizo akili zinazo tawala kichwani mwako.
Na cha kusikitisha zaidi, watu wa aina yako wamejazana tele ndani ya serikali ya huyu Samia; ndio wanaofanya maamuzi ya kuiendesha nchi hii!
 
Wewe na sayansi wapi na wapi? Mzoga unaovunda utaanzia wapi kujuwa sayansi ni kitu gani?
Unakuja kujiandikia tu haPa matakataka; sasa unasema ni sayansi?

Unajuwa 'chemical structure' ya starch (wanga)?
Unataka ni hivyo hutaki ni hivyo. Nendeni CHAUMMA au chadema.
 
Mkuu. 'kavulata', ninapofikia hitimisho la kudharau mabandiko ya mtu humu JF, elewa kuwa sifanyi hivyo kwa ushabiki shabiki tu huu wa kivyama mnaoufanya nyinyi humu.
Nilisha eleza mara nyingi sana kwa nini sikubaliani na siasa za Samia Suluhu Hassan; sasa wewe unataka nirudie rudie tuuu, sijui mara ngaPi. Najuwa huu ni mtindo wenu (mizoga), mnao utumia kuPotezea watu muda humu.
Nyinyi mnashikilia uzuri wake kwa kututajia miradi inayotekelezwa; na kuifanya kana kwamba ndiyo bei halisi ya kudhalilisha utu wa waTanzania!
Hamtaki kuangalia mambo ya msingi anayo yaharibu; mnatusisitizia tu miradi na unadishaji wa raslimali za waTanzania.
Sasa unataka niyarudie rudie humu mara ngapi ndipo uelewe kuwa Samia siyo kiongozi mwenye nia nzuri na taifa hili!

Lakini ngoja nikuulize: huyu kiongozi mzuri, kwa nini hataki waTanzania watumie haki yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka wao?
Kama kafanya haya mambo mazuri kwa nchi hii; hawa waTanzania hawana akili ya kutomchagua kiongozi wao aliye wafanyia kazi nzuri?
Kwa nini uchaguzi tu uwe wa matatizo kiasi hiki; kwamba hata ndani ya chama chake tu, haamini kuwa wenzake watamtendea haki kwa kazi nzuri aliyofanya; kiasi kwamba afanye ulaghai kujipitisha kuwa mgombea pekee ndani ya chama?

Unataka uelezwe kitu gani ndiPo uelewe, kumhusu Samia Suluhu Hassan na GENGE lake; ambao ndio unaowatumikia wewe kwa kuja humu na kulaghai watu.
Hata mm ni muumini wa demokrasia ya vyama vikuu 2 hivi. Lakini Tunapotofautiana na ninyi ni kulazimisha Samia asiwe Rais wakati na yeye ni mtanzania kama wengine. Mbaya zaidi hamtaki kuiheshimu Katiba ya Tanzania ambayo inaeleza nani awe Rais kama Rais akifa. Na mbaya kuliko Kuna watu walimkataa Samia hata kabila hawajajua kama ataweza au hataweza. Na mbaya mno kuhusu nyinyi hamtaki kuona Samia anafanya Yale watangulizi wake waliyafanya pale walipokuwa wanawania mihula yao ya pili ya uongozi.

Kwangu mm Samia is the best president ever.

Wengi wape bhana, kama unampinga mko wengi kuliko sisi tunaomuunga mkono basi tukutane kwenye kisanduku cha kura. Maana Kuna maisha hata baada ya uchaguzi.
 
Ndiyo maana nakuona wewe ni zaidi ya Mzoga.
Ni nani anayelazimisha, kama siyo huyo huyo Samia Suluhu Hassan na GENGE lake?
Unasoma kilicho andikwa wazi kabisa, halafu unajibu vingine tofauti?
Samia kalazimisha ndani ya chama, ajiteue mwenyewe, bila ya ushindani wowote; na sasa kaandaa mazingira ya kubaki madarakani kwa nguvu. Sasa wewe hapa MZOGA, unakuja na vimaneno kwamba na wewe unakubali Demokrasia? Demokrasia gani unaikubali, wakati Samia haamini kabisa kuwa bila ulaghai hawezi kubaki kwenye madaraka?

Kama kawaida ya "MIZOGA", hapa unarudiarudia tu takataka zile zile hakuna jipya, na unataka watu waendelee kupoteza muda kujadili takataka hizi?
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg%5B/

Nikama unatuaminisha kuwa #CCM imebakia na makapi tu ,kinyume na hivyo natamani kujua msingi wa swali lako kama hutajali
 
Kwangu mm Samia is the best president ever.
Kwa mzoga kama wewe. Usitake waTanzania nao wawe mizoga kama wewe. Mchukue akawe rais nyumbani kwako.
Wengi wape bhana, kama unampinga mko wengi kuliko sisi tunaomuunga mkono basi tukutane kwenye kisanduku cha kura. Maana Kuna maisha hata baada ya uchaguzi.
Unataka nikueleze mara ngapi ili uelewe hili?
Nimekwisha kwambia mara kadhaa tayari, kwamba mwambie huyo Samia pawepo na marekebisho madogo yatakayoruhusu waTanzania kufanya uchaguzi katika mazingira HURU na ya HAKI.

Hilo likifanyika, na waTanzania wakimchagua Samia; pamoja na ubovu wake mimi sitasema neno tena juu yake hadi amalize ngwe atakayo chaguliwa kuitimiza.

Sasa unataka nirudie rudie haya haya...; kwa nini?
 
Ndiyo maana nakuona wewe ni zaidi ya Mzoga.
Ni nani anayelazimisha, kama siyo huyo huyo Samia Suluhu Hassan na GENGE lake?
Unasoma kilicho andikwa wazi kabisa, halafu unajibu vingine tofauti?
Samia kalazimisha ndani ya chama, ajiteue mwenyewe, bila ya ushindani wowote; na sasa kaandaa mazingira ya kubaki madarakani kwa nguvu. Sasa wewe hapa MZOGA, unakuja na vimaneno kwamba na wewe unakubali Demokrasia? Demokrasia gani unaikubali, wakati Samia haamini kabisa kuwa bila ulaghai hawezi kubaki kwenye madaraka?

Kama kawaida ya "MIZOGA", hapa unarudiarudia tu takataka zile zile hakuna jipya, na unataka watu waendelee kupoteza muda kujadili takataka hizi?
Nami nakuonyesha namna ugali ulivyokuathiri. Yaani hujui kuwa siasa ni mchezo wa power na chance. Kama Samia anaweza kuwashawishi wajumbe wote wa Kamati Kuu na Mkutano Mkuu wa chama wamkubalie kile anachowaamuru wajumbe huoni kama Samia yuko so powerful. Yaani wajumbe wote hakuna aliyetikisa hata kidole chake kusema nooooo!!!. Yaani unachokisema wewe ni dharau kwa watanzania wenzako na wanachama wa CCM wa Mkutano Mkuu waliosema YES. Eti wewe na viporo wenzako mna akili sana kuliko walioandika Katiba na wajumbe wa Mkutano Mkuu.

Watu walioapa kuilinda Katiba na dola ni wengi sana. Unadhani kama Samia akiwa hatari kwa nchi, umoja, usalama na uhuru wa nchi watamwacha?. Unadhani watamwacha mtu yeyote hatari kwa utengamano wetu? Kama hawakuwaacha akina Oscar kambona, Mzee Jumbe, Membe, Lowassa, Bibi Titi, wareno, makaburu, Iddi Amini, nk sembuse nyie wala ugali wa mahindi?
 
Sasa angalia bandiko la kipuuzi kabisa kama hili, ambalo mtu na akili zake timamu anadiriki kuwekea watu wapoteze muda wakilijadili.
Unazo wewe 'References' za machapisho ya kisayansi ya utafiti huu? Unayo elimu yoyote inayokuwezesha kutafakari na kujuwa ni nini kinazungumziwa kwenye machPaisho hayo.

Sayansi siyo ngonjera mlizo zoea kuziimba na kuhadaa watu. Sayansi ni fani ya kutumia akili, siyo jambo la kufikiria tu na kujisemea hovyo kama ulivyo onyesha haPo juu.. Naifahamu sayansi; kwa hiyo usiniletee upuuzi hapa.
Hata bila kuijua hiyo sayansi; mtu mwenye akili nzuri utashindwa kuelewa kwa nini mahindi wanalishwa mifugo?
Gharama za uzalishaji mahindi ni ndogo kulinganisha mazao mengine. Kwa hiyo mahindi yanatumika kupunguza gharama za uzalishaji wa hao wanyama, ambao ni chanzo chepesi cha 'protein'; lakini mtu kama wewe; huna akili za kufikiri hivyo!
Fanya utafiti mdogo kwa kutumia watoto wako: Mmoja mlishe ugali ugali, uji wa mahindi, makande ya mahindi, vitumbua vya mahindi, togwa la mahindi (case) na mwingine mlishe aina nyingine ya nafaka kama ngano, ngano, mikate, togwa la ngano, ndizi, mchele, mihogo, ndizi, nk (control). Then follow them up longitudinally (cohort) kwa miaka 5 hivi halafu
 
Back
Top Bottom