GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona mnajipa kazi ngumu sana wajemeni wakati 2030 sio mbali. Kikwete alipokatwa kiaina ile 1995 alitulia na alijipanga kwa 2005. Hata nyinyi fanyeni hivyo walahi.
Wewe sasa unaboronga tu huna lolote la maana unalo ongelea tena.
Maana yako hapa ni mwendelezo ule ule ulio anza nao toka mwanzo; kuweka waTanzania katika makundi kama mifugo.
Hii ni akili ya kipumbavu.
 
Kwa hiyo unataka kumlinganisha Samia na Dotto Biteko? Huyo Samia hana hata uwezo kumzidi mbunge wa Rombo au mkuu wa wilaya ya Same😀
Hayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.

Nifuate utaratibu upi, kwanza natamani nchi iwe kama Rwanda, siasa kidogo matokeo makubwa. Afrika tumedanganywa sana na demokrasia, kutwa tunabishana eti utaratibu badala ya matokeo. Shame on us.
 
Umeenda mbali nje ya Katiba, Fuata Katiba kwenda Ikulu. Kuna watu wameapa kulinda Katiba hata ikibidi kufa. Lakini Sasa kabla wao hawajakufa Kuna ma
Ulianzia huko wewe mpuuzi kutishia watu. Sasa juwa kwamba hao wanajeshi siyo mali yenu. Hao ni waTanzania, na hizo silaha ni za waTanzania siyo za magenge yenu.
 
Karibu 💪💪 tuimbe hiyenahiyena CCM nambari one, mitano tena. Tabia ya CCM ni ileile haijabadilika, usiogope. Katiba ya nchi haibadilishwi kama jezi ili kumfaa mtu fulani.
Hizi ngonjera huwa sina muda nazo. Nenda kamwimbie Samia Suluhu Hassan, anazipenda sana. Pengine ndiyo maana kakuajiri kufanya hii kazi humu JF.
 
Hayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.
Mnaimba nyimbo zile zile, timu nzima humu JF. WaTanzania hawahaidiki GENGE ni lazima lidhibitiwe!
 
Hayo sijui lakini ninachojua mm reli ya SGR inafanyakazi, anasambaza maji na umeme Kila Kona, shule zimejengwa, bandari makusanyo yameongezeka, madarasa yamejengwa, madaraja yamejengwa na barabara za mwendokasi dar ni Kila kona. Sasa sijui huyo wako atafanya nn kuliko hivi.

Nifuate utaratibu upi, kwanza natamani nchi iwe kama Rwanda, siasa kidogo matokeo makubwa. Afrika tumedanganywa sana na demokrasia, kutwa tunabishana eti utaratibu badala ya matokeo. Shame on us.
Hayo yote amefanya Magufuli ponjoro ww
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Ruhusuni ushindani Kwa kutoa fomu nyingi watu wajaze ndo mtawapima, cyo unaandika huku ukiwakipofu
 
Hv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Ndio maana wakora walikuwa wanataka kuitisha kikao cha dharura cha bunge ili kugeuza, kuongeza, kupunguza au kufuta vifungu kwenye Katiba. Hii ni baada ya kuona katiba walioapa kuilinda haisemi mambo mengi kuhusu wao na matumbo yao.

Ukisikia kelele za kutekwa zinaongezeka ujue kuwa wenye siifa za kutekwa kwa mujibu wa vigezo (balometor) vya chama chao wameongezeka. Wana hofu kuwa watatekwa kwakuwa vigezo wanavijua na walishiriki kuviweka wao wenyewe.

Ndiyo maana suspect hakosekani kwenye Kila uhalifu, kwakuwa waliowanyiwa uhalifu wanayajua makosa yao ndani ya jamii.
 
Ruhusuni ushindani Kwa kutoa fomu nyingi watu wajaze ndo mtawapima, cyo unaandika huku ukiwakipofu
Inawezekana wewe hujui, Wacha nikukumbushe wewe na wenzio.

Nchi yetu hii tukufu yenye amani na utulivu kuliko nchi nyingine Kusini mwa jangwa la Sahara imeongizwa na TANU/CCM tangu ipate Uhuru 1961. Tangu mwaka 1961 hadi 1990 TANU/CCM haijaruhusu ushindani kwenye mgombea wa Urais. CCM haijaruhusu ushindani kwa mgombea Urais kwenye chaguzi za mwaka 2000, 2010, 2020 na Sasa 2025. Hii Ina maana kuwa CCM iliruhusu ushindani kwa mgombea kwenye chaguzi za 1995, 2005, na 2015. Hivyo basi itaruhusu tena ushindani kwenye uchaguzi wa 2030.

Umeona hiyo trend/pattern/mtiririko/utamaduni/mfuatano? Kubadilisha utaratibu huo lazima uwe kidume kwelikweli.
 
Polepole mtafute kabla ya JPM RIP ndio utajua alikuwa CCM au ni mpinzani sio mbali kwanzia 2015 tu kaamia CCM baada ya kupewa minofu na JPM !!!

sasa Minofu kanyang,anywa ulitegemea abaki bado CCM !!!!

Ata mpenzi wako ukitumia pesa kumpata siku pesa zikikata jua atasepa tu.!!

tena sio kimya kimya utapewa maneno ya Shombo ili usimtafute tena !!

Uyo ni pesa tu ndio kafata sio chengine !!!

Polepole naye ndio ivyo kashapata Njia nyengine ya kupata pesa tegemea tu matusi yataelekezwa kwa CCM..

Wenye CCM kina Nape January nk piga uwa watabaki CCM tu. Ata kama kukosoa watakosoa na watabaki tz sababu wao ni zao la CCM !!

watakachokosoa kina ukweli sio cha kinafiki!!

mtu katafuta pango kwanza la kujificha ndio anakosoa haaaaa.,

CCM imejifunza kitu kuokota okota watu ni tatizo kubwa !!

ikitokea kakosea na ukitaka kumwadhibu yeye hataki kuadhibiwa ajazoea kuadhibiwa

tofaut na mwana CCM kindaki ndaki.
Uko sahihi. Wakati JPM akiwaambia wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi kuwa "ole wako umtangaze mtu mwingine kuwa ameshinda wakati nimekuteua mimi" huyu polepole alikuwa na cheo gani huko CCM?. Maana huo ndio uliukuwa muda na wakati sahihi kwake kujiuzulu kila nafasi aliyopewa na JPM.
 
Watu wanataka taratibu na sheria zifuatwe tu hata kama unamtaka mama saaana, afuate due process tu umpe kura sio kujipakulia pishi loooote mwenyewe namna hiyo, hamna ntu mwenye ntu wake, period
Hakuna taratibu zilizokiukwa hapa. Hawa wanaosema taratibu zifuatwe ndio walewale waliotaka kubadilisha Katiba (utaratibu) ili Makamu wa Rais asiwe Rais baada ya JPM Mungu kumchukua. Kama wao hawataki utaratibu wa kikatiba kabisa ya nchi, je, ni taratibu gani akina samia wamevunja kumteua yeye kuwa mgombea 2025?

Sio kwamba wananchi wamemkataa Samia bali kuna wakora ambao hawakutaka awe Rais kabisaaa hata pale katiba inapoagiza Samia awe Rais. Kelele zao ni upuuzi mtupu zinazostahili kujibiwa kupuuzi pia.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Siyo swala la kutaja tu. Ni suala la kufuata utaratibu. Compliances ulisoma wapi huko ulikofundishwa ujinga wewe
 
Siyo swala la kutaja tu. Ni suala la kufuata utaratibu. Compliances ulisoma wapi huko ulikofundishwa ujinga wewe
2030 utashuhudia utaratibu/ukiritimba wote wa uchaguzi, kwa sasa kusanyeni nguvu kwa 2030. conserve your energy for 2030. This time round you will be onlookers.

Ndiyo maana Nyerere aliandika na kutuachia katiba ambayo mwenyekiti wa CCM ndiye atakuwa Rais wa nchi, Mkuu wa nchi na AmiriJeshi Mkuu pia. Alijua wakora kama nyie hamtakosekana huko mbele ya safari.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Lissu ndiye Rais halal wa JMT. Mungu wa mbinguni endelea kumbariki TAL!
 
Kalamu ya hovyo, hebu msikie JPM kisha utoe comments.

View: https://youtu.be/dHw20sg_WUk?si=wUqWrq73Js22O5T7

Wewe nimekuweka daraja la pekee kidogo zaidi ya mizoga wenzio humu JF. Wewe umediriki ahata kutafuta ushahidi wa ma-'Rear Admiral' ambao unadhani watatulazimisha kuwa watwana zenu; kwa vile tu kundi lenu siyo kundi la "wala ugali wa mahindi".
Wewe umejitambulisha zaidi ya wote kuwa ni mpambanaji wa kipekee zaidi katika kupigania maslahi ya GENGE.

Kwa hali hiyo, MZOGA wako nitauchukulia tofauti kidogo na hiyo mizoga mingine; kwa vile unao mvundo mkali zaidi unaoweza kuleta maangamiza makubwa kwa waTanzania

Sijasikiliza hiyo video; na sijui maana yako ya kuniwekea mimi. Msimamo wangu kuhusu huyo kiongozi marehemu unajulikana humu JF. Sasa sijui maana yako ni nini kunitaka niisikilize.
 
Back
Top Bottom