Utaratibu ni upi unaoujuwa wewe; udanganyifu na ulaghai mwingi?Hv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Kila zama na kitabu chake sawa.Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Wacha uongo. Salim Ahmed Salim alifanyiwa hujuma gani; hujui?Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Nmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️Utaratibu ni upi unaoujuwa wewe; udanganyifu na ulaghai mwingi?
Bro, unajielewa?Miaka 6 akiwa makamu na miaka 4 akiwa raisi uoni hio ni 10 tayari na awamu kabisa, au akiwa makamu hio sio awamu?
inawezekana hujui hata kusoma hata mstaari mmoja wa Katiba yaani upo upo tu kama bendera fuata upepo. what is your contentFuateni taratibu tu, kwani hizi sarakasi zote ni za kitu gani?
Kuna kitu mnakiogopa na mgombea wenu?
Unaniuliza mimi kama ninajielewa? Hii ni bange au ulevi wa kitu gani!Nmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️
Bro, unajielewa?
Sasa kuwa makamu na kuwa rais kuna ingiliana vp?
Bc na mtu akiwa Waziri afu akija kuwa rais nae miaka yake ihesabike kama ulivyosema hapo.
Wacha watu wachukuwe form halafu ndio utajuwa hao wagombea . Chama gani hakiwezi ha t a kuheshimu katiba yake.Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.