Wanaopokea likes nyingi kwenye mitandao sasa kuoga mapesa

Ukijisajili na ukisha activate account yako,unatakiwa ku-signin ukisha ingia utakuta muhutasari wa taarifa zako za msingi ambazo umetumia kujisajili.

Pia katika ukurasa huo utaona kuna registration code namba yako,hiyo ndio ID yako ambapo unatakiwa kuitunza.ID hiyo ndiyo itakayotumiwa na database yetu katka kuandaa taarifa zako za mapato za kila mwezi.
 
Hiyo ipo siku nyingi, watu wanapost picha za walemavu, ajali au kitu kitakachokugusa kisha wanasema kama una UTU au unampenda Mungu type AMEN or LIKE AND SHARE.
Mi hizo sijawahi like Au comment naona Kama uzalilishaji tu kwa wenye huo ulemavu.
 
Ukijisajili na ukisha activate account yako,unatakiwa ku-signin ukisha ingia utakuta muhutasari wa taarifa zako za msingi ambazo umetumia kujisajili.

Pia katika ukurasa huo utaona kuna registration code namba yako,hiyo ndio ID yako ambapo unatakiwa kuitunza.ID hiyo ndiyo itakayotumiwa na database yetu katka kuandaa taarifa zako za mapato za kila mwezi.
Mimi nimejixajili na mefuata taratibu zote.
 
Hapo Le Kubwa Jinga anatakuwa anapost kila muda kupata likes nyingi maana njaa kali sana
 
mradi huu utanufaisha saaana mabinti,wamama na madada. ila kwa upande wa wanaume ni ngumu sana kutengeneza mkwanja kama wewe sio mtu maarufu. Kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii hasa FB nimegundua yafuatayo:
-mwanamke akiposti chochote hata kama pumba,atapata like zisizopungua mia tano(500+) na comments zisizopungua mia moja(100+) kwa post moja...hapo kapost vijineno tu vya kawaida(umbea,kijembe,majungu,mapenzi nk)
-kwa kuwa sasa hivi imeshakuwa fashion kwa madada zetu kupost picha za nusu uchi kwa mitandao,basi akipost kabusti matiti,kaonesha mapaja,kabinua kitako,kajiramba lipsi huku macho karembua au kapost kavideo ka kujishebedua,basi like zitazomiminika hapo ni kuanzia elfu moja(1000+) na comments kuanzia mia tano (500+)kwa kila post moja ya nusu uchi au ya kuleta hamasa ya ngono kwa mtindo wowote ule.
-mwanaume ukipost ujumbe wenye pumba kama za kina dada,kama vile kuonesha six packs,hints za kumfikisha m.mke kileleni,unakula bata na masela(na selfie za hapa na pale)na yakufanana na hayo,basi umependwa sana utaokota like zisizozidi kumi(10) na comments zisizozidi 3-5 kwa kila post.
-mwanaume hata upost ujumbe wenye uzito kiasi gani au wenye kutoa mafundisho chanya kiasi gani,yawe ya kidini au nyanja nyengine za kijamii,umependwa sana utaokota like zisizozidi nane(8) na comments zisizozidi 0-3 kwa kila post.
kwa mantiki hiyo hii fursa imekaa kidada saaana au kiusuper star saana!so madada changamkieni fursa hii ili wala kwa macho tuzidi kufurahia picha za nusu uchi na mwisho wa siku uchi kabisa, ili tuwagongeeni like za kutosha ili muvute mkwanja mrefu...Maisha yamekuwa rahisi sana siku hizi.
Ahsante.
 
Mimi nimejixajili na mefuata taratibu zote.
Hongera kuanzia tarehe 1/4/2016 wewe ingia nijuze download ads unazopenda na unze ku-publish.Kila LIKE moja itakua ni pesa kwako soma vigezo na masharti vizuri mkuu.Karibu.
 
Pia kama umesoma vizuri kuna bonus ya LIKES 10+ kila unapofikisha LIKES 50.
Hivyo ukiwa na LIKES 50 unakuwa na jumla ya LIKES 60 na 100 =120 etc.
 
mradi huu utanufaisha saaana mabinti,wamama na madada. ila kwa upande wa wanaume ni ngumu sana kutengeneza mkwanja kama wewe sio mtu maarufu. Kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii hasa FB nimegundua yafuatayo:
-mwanamke akiposti chochote hata kama pumba,atapata like zisizopungua mia tano(500+) na comments zisizopungua mia moja(100+) kwa post moja...hapo kapost vijineno tu vya kawaida(umbea,kijembe,majungu,mapenzi nk)
-kwa kuwa sasa hivi imeshakuwa fashion kwa madada zetu kupost picha za nusu uchi kwa mitandao,basi akipost kabusti matiti,kaonesha mapaja,kabinua kitako,kajiramba lipsi huku macho karembua au kapost kavideo ka kujishebedua,basi like zitazomiminika hapo ni kuanzia elfu moja(1000+) na comments kuanzia mia tano (500+)kwa kila post moja ya nusu uchi au ya kuleta hamasa ya ngono kwa mtindo wowote ule.
-mwanaume ukipost ujumbe wenye pumba kama za kina dada,kama vile kuonesha six packs,hints za kumfikisha m.mke kileleni,unakula bata na masela(na selfie za hapa na pale)na yakufanana na hayo,basi umependwa sana utaokota like zisizozidi kumi(10) na comments zisizozidi 3-5 kwa kila post.
-mwanaume hata upost ujumbe wenye uzito kiasi gani au wenye kutoa mafundisho chanya kiasi gani,yawe ya kidini au nyanja nyengine za kijamii,umependwa sana utaokota like zisizozidi nane(8) na comments zisizozidi 0-3 kwa kila post.
kwa mantiki hiyo hii fursa imekaa kidada saaana au kiusuper star saana!so madada changamkieni fursa hii ili wala kwa macho tuzidi kufurahia picha za nusu uchi na mwisho wa siku uchi kabisa, ili tuwagongeeni like za kutosha ili muvute mkwanja mrefu...Maisha yamekuwa rahisi sana siku hizi.
Ahsante.

Kama utakuwa umesoma masharti na vigezo vyetu usinge zungumzia swala la nusu uchi wala utupu,matusi,kejeli vijembe n.k kwani watu wenye social media kama hizo wanakuwa disqualified immediately.
 
Hiyo ipo siku nyingi, watu wanapost picha za walemavu, ajali au kitu kitakachokugusa kisha wanasema kama una UTU au unampenda Mungu type AMEN or LIKE AND SHARE.
Kumbe zile picha huwa ni biashara lol I never knew!
 
Orodha za account zimesha anza kutoka,kama ulijisajili na nijuze angalia registration status ya account yako.Bonyeza hapa
 
Hapo sasa wabongo tumefikishwa make hayo ndo tunayaweza, ni kupost matusi tu ili wapate likes....wanatumaliza kabisa
 
Kumbe zile picha huwa ni biashara lol I never knew!
Hata zile msg za kawaida ooh bla bla Mungu atakupa gorofa kesho tuma ujumbe huu kwa watu 20 do not broke the chain sijui nani alipuuza akafa..... Uongo mtupu biashara za makampuni ya simu we unatuma msg 20 wao wanaigiza pesa
 
Back
Top Bottom