mradi huu utanufaisha saaana mabinti,wamama na madada. ila kwa upande wa wanaume ni ngumu sana kutengeneza mkwanja kama wewe sio mtu maarufu. Kwa watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii hasa FB nimegundua yafuatayo:
-mwanamke akiposti chochote hata kama pumba,atapata like zisizopungua mia tano(500+) na comments zisizopungua mia moja(100+) kwa post moja...hapo kapost vijineno tu vya kawaida(umbea,kijembe,majungu,mapenzi nk)
-kwa kuwa sasa hivi imeshakuwa fashion kwa madada zetu kupost picha za nusu uchi kwa mitandao,basi akipost kabusti matiti,kaonesha mapaja,kabinua kitako,kajiramba lipsi huku macho karembua au kapost kavideo ka kujishebedua,basi like zitazomiminika hapo ni kuanzia elfu moja(1000+) na comments kuanzia mia tano (500+)kwa kila post moja ya nusu uchi au ya kuleta hamasa ya ngono kwa mtindo wowote ule.
-mwanaume ukipost ujumbe wenye pumba kama za kina dada,kama vile kuonesha six packs,hints za kumfikisha m.mke kileleni,unakula bata na masela(na selfie za hapa na pale)na yakufanana na hayo,basi umependwa sana utaokota like zisizozidi kumi(10) na comments zisizozidi 3-5 kwa kila post.
-mwanaume hata upost ujumbe wenye uzito kiasi gani au wenye kutoa mafundisho chanya kiasi gani,yawe ya kidini au nyanja nyengine za kijamii,umependwa sana utaokota like zisizozidi nane(8) na comments zisizozidi 0-3 kwa kila post.
kwa mantiki hiyo hii fursa imekaa kidada saaana au kiusuper star saana!so madada changamkieni fursa hii ili wala kwa macho tuzidi kufurahia picha za nusu uchi na mwisho wa siku uchi kabisa, ili tuwagongeeni like za kutosha ili muvute mkwanja mrefu...Maisha yamekuwa rahisi sana siku hizi.
Ahsante.