Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Muislamu ulisha wahi kumuona wapi hapa tanzania?
Tanzania hakuna waislamu kuna WAISIHARAMU TU ndiyo wapo kwa mwamposa na misikitini
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu wengi hufata mkumbo. Utasikia mimi mtoto wa kiislam
 
Uko sahihi wengi wamesilimu na kusema hawana dini ina maana wanakufuru, ila Muumini wa kweli humkuti makanisani ukimkuta kanisani kwa nia za kishirikina ina maana kakufuru, uislam una masharti yake kama hayafatwi hujawa muumini kamili, unakua muislam na antakiwa atubu dhambi zake, asipotubu basi ana yo haki ya kuadhibiwa na alie muumba akitaka. kitu kimoja elewa maana ya kosa. Kosa ni dhambi. na kila kosa lina andikiwa dhambi, nafikiri nimekupa elimu kwa kistaarabu, sio kwa kukutana.
 
Pole
 
Kuna dada tulikaa nae ile siku ya mkesha...ile tunaandika vikaratasi si akapigiwa simu na boyfriend wake. Basi akanipa nimpelekee kikaratasi ile nakifungua. Ameandika anaomba Mungu amponye na HIV, nilitetemeka kidogo nikiangushe. Na ni pisi kali kinoma
 
Ulifanya makosa sana, hukutakiwa kufungua mbona tunakosa uaminifu, ingekuwa pesa sungekimbia nazo wewe, HIV ni angalau kuliko wenye kansa na kisukari and hopefully atapona tu mungu amsaidie
 
Neema ya kristo inawashukia..wamejua walikua kwenye vifungo vya shetani kupitia kivuli cha dini.

Ile sio dini ya waulimwengu bali ni utamaduni wa maisha ya waarabu na mababu zao..ndio mana wanakaririshwa lugha ya kiarabu pia kuishi kama waarabu.
Sio dini ya rohoni ni dini ya kimwili zaidi..na ndio dini inaaogoza kuwa na waganga wengi wa kienyeji...kazi yao kubwa ni kuwanga na kuuza dawa za mvuto wa kimapenzi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Samalekum
 
Umeongea ukweli mchungu mpaka nimedondosha choz
 
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
 
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
Hii si sawa, hakuna mkristo anayekubali ndoa za jinsia moja
 
Naona hiyo neema ya yesu imewashukia kwelikweli na munazingatia sana mpaka munabariki ndoa za jInsia Moja hongereni kwa neema hiyo
Jibu hoja sio kuleta vioja..wapi kwenye biblia andiko limeruhusu mapenzi ya jinsia moja..ukipata huo mastari ndio uje kuulashifu ukristo.

Kila goti litapigwa mbele ya kristo..hata waislam wanasubiri ujio wa mara ya pili wa kristo Yesu...aje awahukumu mataifa kwa haki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Pole ukiristo nI dini ya mzungu na hayo pia ni mzungu kalibariki inawabidi mumfuate mzungu maana yeye ndio mwenye dini yake upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…