Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Ni wazi kuwa mjadala kuhusu bandari ulianza vizuri na kuleta radha kwelikweli lakini ghafla uliharibika baada ya kuvamiwa na wanasiasa na watu ambao waliingiza hisia ambazo hazileti afya katika umoja wetu wa kitaifa. Ushiriki wa sector binafsi katika uzalishaji na utoaji huduma sio Jambo geni katika dunia ya leo kwani tupo katika hatua nzuri ya ustaarabu.
Wasomi wetu wanajisikiaje kuleta taharuki nchini kuwa bandari yetu imeuzwa angali wanajua sio kitu kinachowezekana. Nasomi kwa sauti kubwa wasomi wetu kitu walichonacho ni kiburi cha usomi ( intellectual arrogance ) na sio uwezo wa kubembua mambo kwa faida ya watu wa makundi yote.
Huwezi kusema bandari imeuzwa wakati vyombo vya ulinzi vipo hiyo ni dharau. Kamati kuu ya ulinzi na usalama lazima ifanye mapitio kama kama kuna uwekezaji ambao unahatarisha usalama wa nchi, wapo jwtz, tiss, migration, police na vyombo vyote hawa wapo kulinda rasilimali za nchi.
Ni kweli kuwa ulinzi wa rasilimali za nchi nilakila mtu ila wapo watu waliokula kiapo na wanalipwa kwa ajili ya kazi hiyo je hatuwaamini? Tuna usalama wa taifa ni taasisi ambayo pamoja na majukumu mengine wana oversee leakage ya national resources nao hatuwaamini?
Tuache ujuaji na kiburi cha usomi tujenge hoja zetu kwa hekima na ustaarabu tuziingize udini na hisia za ubaguzi wa rangi juu ya wawekezaji fulani. Vyombo vya ulinzi vipo imara na tiifu kwa nchi yetu, mungu ibariki tz