Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
- Thread starter
- #21
Point, tatizo ni intellectual resources na kuendeleza culture of status quo. Tafiti zinaonesha kua kwenyeNi vyombo na taasisi hizo hizo zinazotakiwa kusimamia ufanisi na usalama wa mali zetu bandarini kwa nini tumeendelea kuibiwa mpaka tunataka kubinafsisha? Je tuendelee kuwaamini? **** wameshindwa kuwasimimia na kuwadhibiti wazawa, watawaweza hao? Kama ni kinyume chake kwa nini wasiwajibishwe wahalifu wawekwe waadilifu na maisha yaendelee? Kama tatizo ni rasilmali watu au teknolojia tuajiri wageni huku watu wetu wakiendelea kujifunza kutoka kwao au tununue teknolojia stahiki tuendeshe mambo yetu wenyewe chini ya isimamizi wa vyombo vyetu vya dola. Pamoja na hayo, endapo ni lazima kuwapa wawekezaji basi MASHARTI LAZIMA YAWE RAFIKI NA MANUFAA KWA WATANZANIA.
utoaji huduma usiposhirikisha sector binafsi mambo yanalala na ufanisi unakuwa mdogo sababu panakuwa hakuna ushindani. Hata ukiwa na trained members na high tech bila kushirikisha sector binafsi mambo ya ujanjaujanja na mazoea hayakosi si tunajuana pwana.